Recent content by Consul05

  1. C

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Natafuta nyumba Mwanza maeneo ya buzuruga,,isizidi 2M kwa mwaka,,,!!!
  2. C

    Special thread: Kilimo cha umwagiliaji (Irrigation)

    Mkuu tunasubiri hizo data kamili
  3. C

    Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Naomba kufahamishwa kuhusu kilimo cha ufuta,,,mbegu nzuri ni ipi inayoweza kustawi meneo ya uvinza kigoma lakini pia mbegu hiyo iwe inakubalika sokoni,,kipindi kizuri cha kupanda ni kipi? Je,mahitaji mhimu katika zao hilo ni yapi,,ambapo mahitaji hayo yakizingatiwa mavuno yatakuwa mazuri...
  4. C

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nenda kiteto yeye aende kigoma mjini,,,idara sekondari,,wasiliana nae kwa 0716696386
  5. C

    Kuitwa kazini-PCCB

    ondoa shaka mkuu, kazi inaenda kufanyika
  6. C

    Kuitwa kazini-PCCB

    Asante Yesu kwa kuyapokea maombi yangu, ni miaka 4 sasa tangu niingie mtaani, lakini hatimae umeniona!!!!
  7. C

    Jengo la CCM Mtwara lateketezwa kwa moto

    Watanzania tuige mfano wa wana Mtwara tuikomboe nchi yetu.
  8. C

    CHADEMA leaders you have let us down in grooming EALA Candidates, a lot of credit to NCCR MAGEUZI

    kweli tunahitaji maelezo ya kutosha kuhusu hili swala, cdm hawakuliweka hadharani mapema na ku-encourage members ku-contest, matokeo yake wanatuletea mtu ambaye not competent enough, hii ni aibu kwa chama makini.
  9. C

    Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

    inaonekana aibu waloipata huko Arumeru haikuwatosha , basi sasa wasubiri aibu nyingine kubwa huko arusha mjini, chadema hata ikimsimamisha mtoto ashindane na magamba, pale arusha, bado mtoto atapita tu!!!!
  10. C

    Kwa Hili, 2015 ni Mbali sana....

    akili yako ww kama ya Lusinde
  11. C

    JK Atoa mwaliko kwa wadau wa maoni ya katiba

    naunga mkono pendekezo la kuwepo mzee mwanakijiji kwny tume ya maoni;
Back
Top Bottom