Asante Yesu kwa kuyapokea maombi yangu, ni miaka 4 sasa tangu niingie mtaani, lakini hatimae umeniona!!!!
Asante Yesu kwa kuyapokea maombi yangu, ni miaka 4 sasa tangu niingie mtaani, lakini hatimae umeniona!!!!
Pia kuna mtu bega nzagi marabi nae pia hayupo kwenye list ya walioitwa oral but jina lake lipo kwenye civil and building
Hongera, Sasa kapige kazi sio kwenda kufidia muda ulikaa idle. Kapambane na Nyangumi.!
AmenMungu wangu mkuu,uliye juu katika kiti cha enzi,nasema asante kwakuwa maombi yangu umeyasikia,umekuwa muaminifu kwangu nami nitakuwa muaminifu kwako kwa kutenda mema!,asante kwa zawadi hii ya kazi uliyonipa,nakuomba uwajaalie hata wale wasiofanikiwa milango yao pia ifunguke!
Usikate tamaa usichoke kua na subira hakuna ulichomkosea mungu ila mungu lazima akupitishe njia ngumu ili uwe Hodari amini nakwambia before May mosi utakua kaziniJamani kwa sisi tuliofanya mtihani tarehe 08/01/2022, Tutegemee matokeo kutoka kwa lini maana tulikuwa watu wengi sana pale dododma na sijui atama ya maisha yangu maana tangu 2015 nipo tu kitaa sina mbele wala nyuma, ata sufulia likipotea nyumbani naambiwa ni mimi ndio nimechukua maana sina kazi
Kwa maneno yako aya ikawe HeriUsikate tamaa usichoke kua na subira hakuna ulichomkosea mungu ila mungu lazima akupitishe njia ngumu ili uwe Hodari amini nakwambia before May mosi utakua kazini
babu mambo gani ya kushtuana hayo, tuna watoto walikwenda Dodoma kwa ajili ya interview!!Kufuatia usaili (Oral Interview) uliofanyika kati ya tarehe 03/02/2014 14/03/2014 TAKUKURU Makao Makuu kwa watahiniwa walioomba nafasi za Afisa Uchunguzi daraja la pili na wachunguzi Wasaidizi, yafuatayo ni matokeo ya usaili huo:
Assistant Investigations Officers
http://www.pccb.go.tz/images/stories/adverts/assistant_investigation_officers.pdf
ju mzigo mzima huu hapa
Jamani kwa sisi tuliofanya mtihani tarehe 08/01/2022, Tutegemee matokeo kutoka kwa lini maana tulikuwa watu wengi sana pale dododma na sijui atama ya maisha yangu maana tangu 2015 nipo tu kitaa sina mbele wala nyuma, ata sufulia likipotea nyumbani naambiwa ni mimi ndio nimechukua maana sina kazi

eti sufuria ikipotea naambiwa mm mana sina kaziMungu/MUNGU sio munguNasema asante mungu wa Ibrahim ,wa Isaka na Yakobo.ameen