CHADEMA leaders you have let us down in grooming EALA Candidates, a lot of credit to NCCR MAGEUZI

Na hyo Mwinyi mbona english yake imenyooka lakin kafanya nn huko miaka 5 aliyopewa kma sio kuuza sura tu.
 
chadema wanataka wao wapewe kiti cha peke yao official opposition hawataki kuchanganywa na wapinzani wengine so wameamua watatoka nje tena hahaha chama cha kususa susa hovyo!

mtaniwia radhi... Ila wakitoka sasa kwa upuuzi wa kupeleka weak contender, watakuwa wapumbavu na kukaa kimya haisaidii kabisa

they didnt do their homework....
 
CDM hawakutaka kuji-involve sana katika issue hii kwa sababu wana shughuli kubwa ya kuwasha mioto ndani ya chupi za magamba kitu ambacho kinatoa matokeo yake na faraja na mafanikio makubwa katika kukimarisha chama. After all Mbunge mmoja wa CDM katika EALA ataongeza nini katika ukuaji wa chadema, na akikosekana atapunguza nini? sasa hivi Chademna wamesha panga priorities zake.

Pili, CCM ambao ndiyo majority Bungeni hawawezi kumchagua mtu wa Chadema iwapo nafasi inagombewa pia na vyama vingine vya upinzani. Na hii iumekuwa kawaida yao tangu ujio wa vyama vingi -- hata wakati wa CUF wakiongoza kambi ya upinzani Bungeni, watu wao walikuwa hawachaguliwi kamwe katika vinyang'anyiro vya namna hiyo. Kwa mfano uenyekiti wa PAC na LAAC ni wa kutoka vyama vingine vya upinzani na siyo kile kikuu cha CDM.

Sote tunakumbuka katika kinyang'anyiro cha kuwania nafasi hizo kwa Bunge hili kwa roho zao mbaya ilibidi watoe tafsiri mpya ya 'kambi ya upinzani bungeni' ili tu kuhakikisha Chadema wanakosa kusimamia nafasi hizo. Ile ya POAC tuliambiwa JK alishinikiza kwa Spika Zitto aipate.

Thread za namna hii huanzishwa kwa lengo la kujaribu kutafuta hoja ya kuibana Chadema hasa wakati huu moto wake unavyozidi kuenea kwa kasi kama moto wa nyikani.
 
Nothing went wrong, its all about strategies, what happened to prof.Baregu? how about Prof.Wangwe? Komu is going to win this evening, wait you shall see.

A matter of strategies realy,what matters hear is political influence as far as Tanzania's politics are concerned
 
Mkuu Marksman: Nadhani umewamaliza hawa wanaojifanya masimpathisers wa CDM kumbe wanafiki tu. CDM ina kazi kubwa mbele yake, siyo kupoteza muda kwenye kitu ambacho CCM wataweka fitina ili CDM ikose kiti. Wanaochagua ni majrity wa CCM Bungeni. Angalau uchaguzi ungekuwa unafanywa na wapiga kura woote.

For all prractical purposes CCM is finito!
 
Kumpeleka mtu mzuri kwenye Bunge la CCM ni kumharibia tu mtu CV yake.

Heri wampe suport huyo mama wa UDSM maana anaonekana mzuri na Maghamba watamchagua ili kuwakomoa Chadema.
 
CDM hawakutaka kuji-involve sana katika issue hii kwa sababu wana shughuli kubwa ya kuwasha mioto ndani ya chupi za magamba kitu ambacho kinatoa matokeo yake na faraja na mafanikio makubwa katika kukimarisha chama. After all Mbunge mmoja wa CDM katika EALA ataongeza nini katika ukuaji wa chadema, na akikosekana atapunguza nini? sasa hivi Chademna wamesha panga priorities zake.

Pili, CCM ambao ndiyo majority Bungeni hawawezi kumchagua mtu wa Chadema iwapo nafasi inagombewa pia na vyama vingine vya upinzani. Na hii iumekuwa kawaida yao tangu ujio wa vyama vingi -- hata wakati wa CUF wakiongoza kambi ya upinzani Bungeni, watu wao walikuwa hawachaguliwi kamwe katika vinyang'anyiro vya namna hiyo. Kwa mfano uenyekiti wa PAC na LAAC ni wa kutoka vyama vingine vya upinzani na siyo kile kikuu cha CDM.

Sote tunakumbuka katika kinyang'anyiro cha kuwania nafasi hizo kwa Bunge hili kwa roho zao mbaya ilibidi watoe tafsiri mpya ya 'kambi ya upinzani bungeni' ili tu kuhakikisha Chadema wanakosa kusimamia nafasi hizo. Ile ya POAC tuliambiwa JK alishinikiza kwa Spika Zitto aipate.

Thread za namna hii huanzishwa kwa lengo la kujaribu kutafuta hoja ya kuibana Chadema hasa wakati huu moto wake unavyozidi kuenea kwa kasi kama moto wa nyikani.

this is a weak excuse......... huwezi kusema serikali iko bize kwa sasa kusimamia utendaji au plan fulani kwasbabu wako bize na ile... SOME SIGNS OF KUKOSA UMAKINI AU UWEZO
 
CDM hawakutaka kuji-involve sana katika issue hii kwa sababu wana shughuli kubwa ya kuwasha mioto ndani ya chupi za magamba kitu ambacho kinatoa matokeo yake na faraja na mafanikio makubwa katika kukimarisha chama. After all Mbunge mmoja wa CDM katika EALA ataongeza nini katika ukuaji wa chadema, na akikosekana atapunguza nini? sasa hivi Chademna wamesha panga priorities zake.

Pili, CCM ambao ndiyo majority Bungeni hawawezi kumchagua mtu wa Chadema iwapo nafasi inagombewa pia na vyama vingine vya upinzani. Na hii iumekuwa kawaida yao tangu ujio wa vyama vingi -- hata wakati wa CUF wakiongoza kambi ya upinzani Bungeni, watu wao walikuwa hawachaguliwi kamwe katika vinyang'anyiro vya namna hiyo. Kwa mfano uenyekiti wa PAC na LAAC ni wa kutoka vyama vingine vya upinzani na siyo kile kikuu cha CDM.

Sote tunakumbuka katika kinyang'anyiro cha kuwania nafasi hizo kwa Bunge hili kwa roho zao mbaya ilibidi watoe tafsiri mpya ya 'kambi ya upinzani bungeni' ili tu kuhakikisha Chadema wanakosa kusimamia nafasi hizo. Ile ya POAC tuliambiwa JK alishinikiza kwa Spika Zitto aipate.

Thread za namna hii huanzishwa kwa lengo la kujaribu kutafuta hoja ya kuibana Chadema hasa wakati huu moto wake unavyozidi kuenea kwa kasi kama moto wa nyikani.

Marksman, You have to understand that CHADEMA carry a lot of hopes and dreams of so many Tanzanian and we expect to takeover this country 2015 so the party should be well prepared for the battle each and every time , we dont expect CHADEMA to concede before they fight the battle, they were supposed to field in competent candidates in every group
 
Muheshimiwa Mnyika pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeee.......................contradiction huku tayari

Justification needed...................
 
i wasn't much impressed by Mr.Komu too...i mean..based on his expression....and i don't know how diplomatic and aggressive he is on issues....because if he gets elected (he and his fellows) he/they will meet with very aggressive MPs from other EAC countries...we all should know about this.....Otherwise, i think CDM should now learn from this..... next time they need to pick quality candidates....in the caliber of Dr.Kitila Mkumbo...if they really want to prove seriousness on these issues.....
 
Mkuu Marksman: Nadhani umewamaliza hawa wanaojifanya masimpathisers wa CDM kumbe wanafiki tu. CDM ina kazi kubwa mbele yake, siyo kupoteza muda kwenye kitu ambacho CCM wataweka fitina ili CDM ikose kiti. Wanaochagua ni majrity wa CCM Bungeni. Angalau uchaguzi ungekuwa unafanywa na wapiga kura woote.

For all prractical purposes CCM is finito!

Upuuzi kama huu ndio unakifanya chama kidumae, grow up guys, hakuna mtu anaeitakia chadema mema kama watu kama sisi, na tumejitolea kwa matendo kukipigania chama na hata viongozi wako wanajua,
 
I have been watching the election for East African Legislative Assembly today, but it seems CHADEMA was caught unaware, they did not groom very competent candidate to represent the party,Anthony Komu tried his best but according to my opinion NCCR Mageuzi has the best Candidate to represent us in EALA for opposition side.

I always put my country first , Therefore let us take this as a challenge to all members of CHADEMA and our leaders to learn from this mistake.

Why CHADEMA did not motivate and give more information to the general public so that a lot of our competent members from CHADEMA represent THE party, It was really a shame to CHADEMA today and we deserve answers from party top brass why they did not motivate and groom competent members?

All in all a lot of credit to NCCR-MAGEUZI, I am impressed with their candidate and i hope Madam PERPETUA NDERIKO and Polisya Mwaiseje will be elected.

May God Bless our Country

Mkuu before going any further, CDM were smarter than you think. It is true that None from CDM will be elected to EALA, and this does not come from the type of candidate but from the political environment. CCM will always vote for a person from weaker side of the opposition no matter who is the candidate from the strong opposition.

For me I was counting no person from CDM to the EALA from the start. I don't see the relevance of EAL members on Tanzania politics rather it is just another 'Ulaji' that's why you see even unqualified people are eager to get elected. This is not CDM's failure but it is a failure for our democracy.
 
Ila kuongea na kutenda tofauti sana. Nadhani taaluma ya Antony Komu ni ya muhimu zaidi EALA kuliko Mama Kessy Japo mama kajieleza vizuri sana
 
kweli tunahitaji maelezo ya kutosha kuhusu hili swala, cdm hawakuliweka hadharani mapema na ku-encourage members ku-contest, matokeo yake wanatuletea mtu ambaye not competent enough, hii ni aibu kwa chama makini.
 
Oratory ability is very important, there is a lot of serious negotiations to be observed, and all discussions are conducted in English, sielewi kwa nini mtu mwenye shahada au diploma ya college hawezi kujieleza kwa kingereza!

Wakati mtoto wa primary au sekondary anaweza kujieleza vizuri kwa kingereza, kingereza ni lugha kama lugha zingine kwanini mtu ashindwe kujieleza kwa kingereza?

Hatutaki kupeleka mabubu huko? watanzania tubadilike hii ni nafasi ya uwakilishi kama mtu anashindwa kuonesha uwezo wake kwa kuwashawishi wabunge wamchague tu je atawezaje kujenga hoja za kuitetea nchi yetu?
 
kweli tunahitaji maelezo ya kutosha kuhusu hili swala, cdm hawakuliweka hadharani mapema na ku-encourage members ku-contest, matokeo yake wanatuletea mtu ambaye not competent enough, hii ni aibu kwa chama makini.
Sio kweli watu walijulishwa na uchaguzi ulifanyika sema tu watu wengi wazuri walikataa kuomba wakijua ccm itawapiga chadema chini
 
I am very disappointed with CHADEMA leaders, they need to be accountable for this strategical mistake, i know CHADEMA can do better than this to project a good image of the party, All hopes and dreams of so many Tanzania are with CHADEMA but they have let our country down on this. AND I URGUE Mnyika or Dr Slaa to explain to us what really happened?
Before complaining, we better understood the modus operandi of that election. Voters are MPs' of whose over 75% are from CCM. It is very unfortunate for them to vote for representative from CDM which is the CCM's greatest rival. Refer alike election done 2007, despite of the fact that Prof. Baregu was the best, CCM elected Dr. Masha of UDP. The same reflaxe shall be in this election.
 
Can you prove that Dr Masha was not more qualified than Prof Baregu?
 
Back
Top Bottom