Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
Sawa, mkuu, sipingi maoni yako, lakini unaamini kuwa ccm itaondoka kupitia sanduku la kura??
Of course, hakuna njia nyingine au unafikiria the Arabic style
Sawa, mkuu, sipingi maoni yako, lakini unaamini kuwa ccm itaondoka kupitia sanduku la kura??
Lete evidence basi...
CCM ikishinda 2015 tuache kupiga kura
Fuatilia vyombo vya habari lobya hakuna amani tena ni tribal clashes Vyombo vya magharibi havitoi hizi habari kwa kuwa sio kwa interest zao, wao wanalinda mafuta na sehemu za kuyatolea. FULL STOPKufanya mapinduzi kama ya Libya,ndio njia sahihi