Recent content by CONSTRUCTIVE THOUGHT

  1. CONSTRUCTIVE THOUGHT

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui kutofautisha you're na your,. Kama ulikuwa na tatizo hilo ingia hapa ujisahihishe

    "Your" haikai nyuma ya pronoun. Pronouns ni: 1.They, them, their, theirs & themselves. 2. We, us, our, ours & ourselves. 3. You, you, your, yours & yourself or yourselves. 4. It, it, its, & itself. 5. I, me, my, mine & myself. 6. She, her, hers, & herself. 7. He, him, his & himself. Sasa...
  2. CONSTRUCTIVE THOUGHT

  3. CONSTRUCTIVE THOUGHT

    JamiiForums Tanzania Wakenya na Passpoti za Tanzania

    Kwanini uliwaacha mpaka waondoke bila kutoa taarifa Polisi au Uhamiaji? Mtu yeyote unaomtilia shaka, unapaswa kutoa taarifa katika vyombo vya sheria ili sheria ichukuwe mkondo wake.
  4. CONSTRUCTIVE THOUGHT

    JamiiForums Tanzania Hizi hali za umilikishi zikoje kwenye kiingereza?

    This is their pen. Kuelewa hii inabidi ukubali kufikiri kwa Kiingereza na kuandika kwa Kiingereza.
  5. CONSTRUCTIVE THOUGHT

    JamiiForums Tanzania Msaada wa lugha ya kiingereza

    Tatizo unajidanganya kuwa upo vizuri katika Kiingereza cha kusoma, wakati hata cha kusoma haupo vizuri.
  6. CONSTRUCTIVE THOUGHT

    JamiiForums Tanzania Hizi hali za umilikishi zikoje kwenye kiingereza?

    Kwa mtindo huu unataka kudanganywa, maana unafikiri kwa ki-Swahili alafu hoja ya Kiingereza.
  7. CONSTRUCTIVE THOUGHT

    JamiiForums Tanzania Watangazaji Clouds wavunja rasmi "urafiki" na Makonda, sasa kutangaza habari bila maelekezo toka juu

    Naona unamfumo dume, yaani ukifika tu home shemu na watoto wanahamisha chaneli unayotaka wewe.
  8. CONSTRUCTIVE THOUGHT

    JamiiForums Tanzania Kinachofuata: Daudi Albert Bashite lazima ang'oke, muda wa usafi umefika!

    Kama na wewe sasaivi unajiita "wakili" nawasiwasi na cheti chako. Tuoneshe tuamini!!!!
  9. CONSTRUCTIVE THOUGHT

    JamiiForums Tanzania Lema: Mh. Rais, Vyama vya siasa sio uadui

    Kama sio uadui, mbona huwa mnakimbia Bunge?
  10. CONSTRUCTIVE THOUGHT

    JamiiForums Tanzania Tangaza bidhaa zako usikike kila kona.

    Ngoja waje wadau!
  11. CONSTRUCTIVE THOUGHT

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kusoma DIT bila kupitia kidato cha tano na sita

    Dogo acha uongo, hauna hayo matokeo, mwene hayo matokeo asingekimbilia Dip maana nikuchelewesha muda alafu alimu ndogo.
  12. CONSTRUCTIVE THOUGHT

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Wanasema ninyamaze imetosha, mbona nlipokuwa nashambuliwa hamjasema inatosha?

    Cheti cha mtu mwingine akinisaidi mimi!
  13. CONSTRUCTIVE THOUGHT

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Wanasema ninyamaze imetosha, mbona nlipokuwa nashambuliwa hamjasema inatosha?

    Na swala la madawa ya kulevywa ni la chama au la jinai? Maana naona watu wanawatetea wanaotuhuniwa kuhusika ktk madawa ya kulevya kwa namna moja au nyingine.
Back
Top Bottom