Watu wengi hawajui kutofautisha you're na your,. Kama ulikuwa na tatizo hilo ingia hapa ujisahihishe

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
Kwa muda mrefu nimekutana na makosa ya utumiaji wa neno you're na your ,watu wengi hawajui matumizi ya neno you're na your hivyo kuchanganya na kuondoa maana ya kusudio

80% ya watumiaji wa mitandao duniani kote hufanya makosa haya ya kutofautisha matumizi ya you are na your na kwa Tànzania asilimia kubwa ya watu huchanganya matumizi ya you're na your

YOUR

Kwa huku kwetu Tanzania hupenda kufupisha kama ur kwa watumiaji wa SMS ,sasa your au ur hutumika nyuma ya noun, na huzungumzia haswa belonging

Mfano

1.is this your house ?
2.This is my pen

Makosa

Is that You're friend ×
Is that your friend √

Matumizi ya You're

Mfano

1.you are naive

2.you are an idiot

3.the problem is that you're still incompetent

Ukisema

Your brave × kosa kubwa
You're braive √

Nb:kuanzia leo sitarajii kwa mwana jf kufanya makosa ya kuchanganya matumizi ya you're na your
 
Safi kabisa,

niongezee pia tofauti ya maneno haya ktk fonolojia.
Maneno You are yanatamkwa kwa kutenganishwa, yaani you inajitegemea na are inajitegemea lakini neno your linatamkwa kwa pamoja bila kutenganishwa.
You are= You're neno moja.
 
Thanks mtoa post although sijaelewa vizuri
Naomba utoe mifano zaidi tuzidi kuelewa
Your lazy
You're lazy
You are lazy
Which is correct?
 
Kwa muda mrefu nimekutana na makosa ya utumiaji wa neno you're na your ,watu wengi hawajui matumizi ya neno you're na your hivyo kuchanganya na kuondoa maana ya kusudio

80% ya watumiaji wa mitandao duniani kote hufanya makosa haya ya kutofautisha matumizi ya you are na your na kwa Tànzania asilimia kubwa ya watu huchanganya matumizi ya you're na your

YOUR

Kwa huku kwetu Tanzania hupenda kufupisha kama ur kwa watumiaji wa SMS ,sasa your au ur hutumika nyuma ya noun au pronoun haswa belonging

Mfano

1.is this your house ?
2.This is my pen

Makosa

Is that You're friend ×
Is that your friend √

Matumizi ya You're

Mfano

1.you are naive

2.you are an idiot

3.the problem is that you're still incompetent

Ukisema

Your brave × kosa kubwa
You're braive √

Nb:kuanzia leo sitarajii kwa mwana jf kufanya makosa ya kuchanganya matumizi ya you're na your
"Your" haikai nyuma ya pronoun.
Pronouns ni:
1.They, them, their, theirs & themselves.
2. We, us, our, ours & ourselves.
3. You, you, your, yours & yourself or yourselves.
4. It, it, its, & itself.
5. I, me, my, mine & myself.
6. She, her, hers, & herself.
7. He, him, his & himself.

Sasa katika hizo PRONOUNS wapi "your" inakaa nyuma?
 
Back
Top Bottom