Hili somo la GS mnanishauri nilifanyeje, au niliache?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,833
Reaction score
6,889
Habari

mwaka 2009 nilimaliza kidato cha sita pale Majengo sekondari moshi. matokeo yalipotoka nilikuwa na daraja sifuri yaani GS-S PHY-F CHEM-F na MATHS-F.

Mwaka uliofuata niliamua kurudia mitihani wote. sasa mwaka 2010 nilipata daraja la nne nikiwa na GS-F PHY-F CHEM-F na MATHS-E.

Niliamua kwenda chuo mwaka ulifuata nikasoma diploma nikamaliza. niliajiriwa na mshahara wangu mzuri na nafurahia maisha. ila kinachoniuma ni izo F-F-F. NIMESOMA SHULE NZURI ZENYE KILA KITU ILA HUKO KUFELI KUNANIUMIZA.

Mwaka huu nataka kurudia tena maana nina muda mrefu tu kwa sababu kazi yangu sio ngumu nafanya masaa manne kissha nasign out.

sasa kwenye kurudia tena nataka ila somo la GS linanichanganya. sasa mnanisshaurije nililirudie ama niliache tu. maana najiuliza nikilifanye tena au niliache.

nakaribisha michango ila masihara tuweke pembeni.

asante
 
Nikadhani ndiyo upo shule kumbe kuresit, achana nalo tu litamaliza pesa.
 
SHULE NZURI ZENYE KILA KITU! MAJENGO?
 
Habari

mwaka 2009 nilimaliza kidato cha sita pale Majengo sekondari moshi. matokeo yalipotoka nilikuwa na daraja sifuri yaani GS-S PHY-F CHEM-F na MATHS-F.

Mwaka uliofuata niliamua kurudia mitihani wote. sasa mwaka 2010 nilipata daraja la nne nikiwa na GS-F PHY-F CHEM-F na MATHS-E.

Niliamua kwenda chuo mwaka ulifuata nikasoma diploma nikamaliza. niliajiriwa na mshahara wangu mzuri na nafurahia maisha. ila kinachoniuma ni izo F-F-F. NIMESOMA SHULE NZURI ZENYE KILA KITU ILA HUKO KUFELI KUNANIUMIZA.

Mwaka huu nataka kurudia tena maana nina muda mrefu tu kwa sababu kazi yangu sio ngumu nafanya masaa manne kissha nasign out.

sasa kwenye kurudia tena nataka ila somo la GS linanichanganya. sasa mnanisshaurije nililirudie ama niliache tu. maana najiuliza nikilifanye tena au niliache.

nakaribisha michango ila masihara tuweke pembeni.

asante
Nakushauri achana na hayo masomo.

Nenda OSHA kachukue kozi za safety utatusua tu vizuri.
 
Habari

mwaka 2009 nilimaliza kidato cha sita pale Majengo sekondari moshi. matokeo yalipotoka nilikuwa na daraja sifuri yaani GS-S PHY-F CHEM-F na MATHS-F.

Mwaka uliofuata niliamua kurudia mitihani wote. sasa mwaka 2010 nilipata daraja la nne nikiwa na GS-F PHY-F CHEM-F na MATHS-E.

Niliamua kwenda chuo mwaka ulifuata nikasoma diploma nikamaliza. niliajiriwa na mshahara wangu mzuri na nafurahia maisha. ila kinachoniuma ni izo F-F-F. NIMESOMA SHULE NZURI ZENYE KILA KITU ILA HUKO KUFELI KUNANIUMIZA.

Mwaka huu nataka kurudia tena maana nina muda mrefu tu kwa sababu kazi yangu sio ngumu nafanya masaa manne kissha nasign out.

sasa kwenye kurudia tena nataka ila somo la GS linanichanganya. sasa mnanisshaurije nililirudie ama niliache tu. maana najiuliza nikilifanye tena au niliache.

nakaribisha michango ila masihara tuweke pembeni.

asante
Ushauri wangu usipoteze muda kuridia...kama una gpa nzuri ya diploma nenda degree acha kupoteza muda kizembe
 
mkuu sikushauri kusoma pcm...si wewe tu na yeyote yule....huwa tunachomoka kibahati sometimes cha msingi piga bachelor
 
Fa fa fa fa ra.... Huoni aibu.. Umeajiriwaje!???
 
MAJENGO nayoijua mm au? We ulienda pale kucheza, MAJENGO wapo makin sana.
 
Back
Top Bottom