Bei zilizokuwepo mwezi june mwaka jana ukilinganisha na bei kuanzia dec.mpaka leo hii duuuuh ni hatari mfano cement ilikuwa 11500,mpaka 12000 leo hii 13500 simba cement na 14000 twiga unaweza kushangaa ukiamka imefika 15000
MA "AFANDE" mbona kazi wanayo,sio kwa kuwachafua huko! Mbona wengine wana ndoa imara tu hamuwasemei! Poleni maafande wenye tabia njema.kazi yenu inawaponza maana naamini wenye tabia njema wapo! Binadamu kamwe hawawezi kufanana! Poleni sana dada na mama zangu...
Dalili zote hizo ni za mimba totaly,lkn mmeshaiharibu tayari, isitoshe hizo dawa humezwa dani ya masaa 72 baada ya tendo kufanyika ili kuzuia fertilization.lkn kaka wifi yetu kama bado hajazaa basi aachane kabisa na dawa zinazozuia fertilization kama hizo P2,sindano,na njia zingine za uzazi wa...
Inaonyesha bado unampenda ndo maana inakuwia vigumu kumsahau.mimi nilitendwa na mtu niliyekuwa nampenda sana.niliumia kuliko kawaida lakini nilivyoamua kuachana naye niliwaza mabaya yake tu nikamsahau kabisa kinachonisumbua ni sugu moyoni tu. Inaonyesha wewe umemuacha ilihali unampenda ndo maana...
Mimi nasumbuliwa na vitoto vya majirani zangu hapa,yaani sijui hata vinanipendea nini maana vikiniona tu vinaniganda mpaka naenda navyo kwangu,sometime vinaanza kulialia viletwe kwangu na mimi muda huo nataka kupumzika basi tabu tu! Na vikija kwangu wala havitulii utavisikia tu jirani leo mi...
Raha ya kikoba(nazungumzia kikoba kilichokomaa sio kinachoanza) unaweza kukopa pesa kwa riba ndogo sana ukaongezea kwenye mtaji tofauti na vile ungekopa bank. Mfano kikoba nilichopo Mimi unaweza kukopa hata 5m.wanachama wako vizr kabisa kwenye kuhamasishana juu ya uchakarikaji na usimamizi wa...
Hicho bado hakijakomaa mkuu, kikoba nilichopo mimi ukitaka kujiunga utatoa 2,750,000. Faida Zake unaweza kukopa hela ndefu na nzuri kwa riba ndogo Sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.