Msaada: Kutokwa na madonge ya damu baada ya kunywa p2

Msaada: Kutokwa na madonge ya damu baada ya kunywa p2

Kuanzia mimba kutunga mpaka wiki sita ni mabongevya damu, ndiyo maana hata abortion ni rahisi kufanyiwa wiki sita kwenda chini
Hv dada na mtu anayetoa mimba vinatoka vtu vyepesi vyenye rang kama utumbov vyenye mchanganyiko wa damu kdogo inakuwa ni mimba ya mda gan maana cyo bonge la damu wala damu ni mchanganyiko wa vitu vyeupe na vidamu kwa mbali
 
Katumia p2 au misoprostol? Wanawake wana janja janja nyingi sana. Na p2 hufanya kazi ndani ya masaa 72 tu tokea mkutane kimwili. Mimba ya week 1 sidhan ikiwa abort kama yaweza toa damu nyingi yenye mabonge. Ushaur wangu aende hosptal aka angaliwe na wataalam maana vipimo vita endlea soma ana mimba.
 
Alitolewa hospital na bomba vikawekwa kwenye dustbin vtu kama hvyo vyeupe na mchanganyiko wa damu
 
Huyo wifi yetu ni kiazi sana.. morning after pill anaimeza baada ya wiki kazaa kupita...

huyo ni mpuuzi.. na wewe ni mpuuzi pia.. unamnunulia mtu dawa na humpi maelekezo.. hapo mmetoa mimba maana mlishachelewa kuzuia mimba
 
Habari zenu Wakuu!
Mwezi Januari nilisex na shemeji yenu/wifi yenu na kwa kuwa hatukuwa tayari kuwa na mtoto mwingine ikanibidi nimnunulie p2, nikampatia kisha nikaenda kazini (mkoani).

Sasa leo ameniambiwa kuwa ile p2 hakumeza ila alimeza j4 ya wiki iliyopita, na alivyomeza kuna damu ilitoka kuanzia sa 4 mpaka sa 8 ikastop, damu hiyo sio ya period, ilikuwa nzito na kukatokea madonge madonge kama matatu hivi.

Sasa wakuu swali langu ni hili, je yale madonge yanasababishwa na nini? na imekuaje mpaka ameze p2 ndo madonge hayo yatoke kwa sasa anajisikia mapigo ya moyo kwenda kasi, kutapika n.k ila najua hizi ni effects tu za dawa hii ya p2.

Msaada wenu Wakuu!
Tata mang'ana mbuya !

Kazi ya P2 ni kuzuia fertilization
Na effect zake haziwezi kuwa haraka namna hii,

Ushauri ,

Just wait and see

Pia asipende kutumia hizi P2 mara kwa mara !

Sawa mura weto
 
Wakuu, amesema kabla hajameza ile p2 damu nzito kuanza kutoka alikuwa anaona chuchu zake zimekuwa nyeusi na sasa hivi zimeongezeka weusi. Pia anasikia uchovu, tumbo la chini ya kitovu kuuma na chini. Hajisikii kichefuchefu wala kutapika.

Cc Sky Eclat, mimimeme, ledada n.k
Dalili zote hizo ni za mimba totaly,lkn mmeshaiharibu tayari, isitoshe hizo dawa humezwa dani ya masaa 72 baada ya tendo kufanyika ili kuzuia fertilization.lkn kaka wifi yetu kama bado hajazaa basi aachane kabisa na dawa zinazozuia fertilization kama hizo P2,sindano,na njia zingine za uzazi wa mpango.zitamletea madhara.njia salama ni kutumia kalenda tu.mwelimishe wifi yetu namna ya kujua danger days na siku salama!
 
Mkuu, mimba bado ipo. Uchovu, chuchu kuzidi kuwa nyeusi, akila kujisikia kichefuchefu na kutapika n.k
 
Mkuu, mimba bado ipo. Uchovu, chuchu kuzidi kuwa nyeusi, akila kujisikia kichefuchefu na kutapika n.k
Kwa maelezo yako hyo mimba imeshatoka mkuu.
Mjamzito kutokwa damu kipindi cha mwanzo wa mimba ni dalili ya hatari kwa mimba.
Cervix au mlango wa uzazi ukisha funguka uwezekano wa mimba kuwepo ni mdogo.
P2 ni emergency contraceptive na hutumika ndani ya saa 72 tuu baada ya hapo haitafanya kazi ya kuzuia mimba isitungishe.
Hizo hali za kichefu chefu na kuchoka au moyo mapigo kwenda mbio ni side effect ya hizo dawa na kama alitumia viwili kwa wakati mmoja effect yake ni kubwa pia.
.pole sana mkuu mpeleke hosp akasafishwe asije poteza damu zaidi ikawa hatari kwa maisha yake.
 
Asante sana Mkuu ila damu ilitoka siku moja tu, ile j4 ya wiki iliyopita ilikuwa kuanzia saa 4 mpaka 12, damu haikutoka tena mpaka sasa, aina ya damu ni nzito na madonge kama 3 au 4 hivi. Na jana nikampima kipimo kikasema ipo, tulipima kupitia UPT.
 
  • Thanks
Reactions: mg4
P2 si inafanya kazi ndani ya masaa 72 tu?

Imeanza lini kutoa mimba?
 
Asante sana Mkuu ila damu ilitoka siku moja tu, ile j4 ya wiki iliyopita ilikuwa kuanzia saa 4 mpaka 12, damu haikutoka tena mpaka sasa, aina ya damu ni nzito na madonge kama 3 au 4 hivi. Na jana nikampima kipimo kikasema ipo, tulipima kupitia UPT.
Inawezekana mimba imeshatoka
Ila hormone bado hazijakaa sawa ndo maana UPT inaonesha kuna mimba.
Subiri wiki moja upime tena
Ama nenda ukacheki kwa Ultra Sound
 
Inawezekana mimba imeshatoka
Ila hormone bado hazijakaa sawa ndo maana UPT inaonesha kuna mimba.
Subiri wiki moja upime tena
Ama nenda ukacheki kwa Ultra Sound
Asante sana mkuu, wana Jf ninyi ni wakarimu saaana.
 
mkuu P2 haiwezi kufanya icho kitu
Labda ulitumia dawa nyengine,mimba ikishaingia P2 inakua haina uwezo tena soma hata instruction zake kwenye box

hicho ndicho ninachokijua mnaweza nisahihisha pia
 
Back
Top Bottom