Recent content by consequence

  1. consequence

    Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Wajuzi ww, umesoma na first born wangu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. consequence

    Msaada: Tatizo la harufu ya kinywa kutoka kwa rafiki/mpenzi

    Uwiiiii. Pole sana, nikajua ni man... Msichana ni rahis kuendana nae sawa. Unaijua dawa anayoitumia??? Ukishaijua dawa anayoitumia itakua nimwanzo wa kuingia na gia ya kumbadilishia dawa. Anza na kuipoda dawa alokua akiitumia kwamba nimekutana nawatu wanaiponda, mdanganye. Then mwambie...
  3. consequence

    Msaada: Tatizo la harufu ya kinywa kutoka kwa rafiki/mpenzi

    A boy or a girl? ? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. consequence

    TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

    Return If Possible. (RIP) Sent using Jamii Forums mobile app
  5. consequence

    Msaada plz jinsi ya kuongeza thamani ya biashara

    Wandugu, naomba msaada jinsi ya kubadilisha umiliki wa biashara... naamisha kusajili a private limited company kutoa kwenye a sole proprietorship.
  6. consequence

    Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

    Ushauri tu... Ukiona umetingwa sana komaa hapo chuo ufanye acrobatic ya matokeo then omba open university. Ukifanikiwa kufanya haya basi utakua umejitengenezea safari ya kuendelea na chuo for the next academic year bila kurudia mwaka, itaonekana kama umehama chuo... Kuhusu course, we pata chuo...
  7. consequence

    Maswali kuhusu Queen Elizabeth na utawala wake

    Em nielewesheni kodogo, kwahio kama queen Elizabeth (first born)angekua na mdogo wake wakiume ndo angeapishwa kua king badala ya Elizabeth soon after kifo cha baba yao?? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom