CCM kwa ujumla kile chama hakina akili unakuwa bumbuwazi kabisa yaani, sijui huwa wanafikiria nn yaan hata kweli kwa macho hawaoni kabisa kwamba tunapigwa apa, raisi mzanzibar na waziri anayetia saini ni mzanzibar hakuna mbara pale alafu bado wanashadadia ujinga tu
Mmarekani hawez kutusaidia hata kidogo apo hili ni swala la nchi na viongoz wake, kwanza kwa lipi atusaidie wakati sie tulimnyima kumuuzia kigamboni wakati wa kikwete, waacha tu tu pigwe basi hii nchi ni inanukaa tu asaivi yaani
Sie wa afrika hata mambo sijui yako vp yaani tuko sijui kinyume au vice versa hata sielewei ukienda CAF final ina home na away, bongo mfungaj bora haeleweki na apo yanga alishatangazwa bingwa kabla hata ligi kuishi, sijui ina ka vp hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.