Recent content by Comrade 01

  1. Comrade 01

    JamiiForums Tanzania Inachezwa chini ya maji mno

    Amini katika mchakato
  2. Comrade 01

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Hata magaidi,maharamia,wauaji,majambazi,watekaji ,hununua silaha kutekeleza uovu wao na kujilinda.
  3. Comrade 01

    JamiiForums Tanzania Maono ya Karatasi nyeupe ya siri itakayofunguliwa 2025

    Bado siku 63 mwaka uishe.Bado mwaka hujaisha
  4. Comrade 01

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

    Katiba hairuhusu: Makamui wa rais akirithi kiti cha urais zaidi ya miaka mitatu,ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja Tu.!
  5. Comrade 01

    JamiiForums Tanzania Kwanini transaction fee kati ya mabenki na mitandao ya simu ni kubwa sana?

    Hata mimi huwa sielewi kwanini ada ni kubwa hivi!!
  6. Comrade 01

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Shule za Baobab mnatukosea sana Wazazi, tumewavumilia sasa mmevuka mipaka komesheni huu uhuni.

    Hata mwenye shule ni muislam pia. merehemu Khalfan Swai.
  7. Comrade 01

    JamiiForums Tanzania Gharama msingi vyumba vitatu

    Kama ni msingi wa kozi sita utachukua tofali 860 -1,000. Pia ukubwa wa vyumba hapo nimepiga vyumba vyote Sawa yaani futi 10.5 ×10.5. Kwa portion zote 5 yaani jiko,sebule na vyumba 3.Mifuko 20 ya cement na roli moja la mchanga lenye ujazo wa m 4 Sawa na debe 200.Hapo bila mkanda.
  8. Comrade 01

    JamiiForums Tanzania Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

    Uislam umeleta mfumo wa kimahesabu unaotumiwa na vifaa vya electronics kama simu, Computer n.k. yaani Algorithm
  9. Comrade 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniambia ana mtoto mmoja lakini baada ya kuwa naye kwenye mahusiano nimegundua ana watoto watano, nifanyeje?

    Ana experience anajua kucheza na hisia zake na zako hana papara. .Hormones vilevile.Kwani wako unamuonaje,hafiki dk 30?
  10. Comrade 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniambia ana mtoto mmoja lakini baada ya kuwa naye kwenye mahusiano nimegundua ana watoto watano, nifanyeje?

    Kawaida mtu akifika miaka 50 ana afya.Huo wana shoo ndefu.Tofauti na vijana wa 20's. Anapiga Round 3 ndani ya dk 30. Na ukizoea kudate na watu wa umri huo kuanzia 40's unakuwa addicted nao.
  11. Comrade 01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliniambia ana mtoto mmoja lakini baada ya kuwa naye kwenye mahusiano nimegundua ana watoto watano, nifanyeje?

    Gape hiyo ndiyo sahihi Anakuonea wivu shoo dk 45 round moja.
Back
Top Bottom