Recent content by computerarsenal

  1. C

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nikilala nikiamka katika 9 games to go kuna wapumbavu Chelsea and Tottenham hawa watu wa London ,they will not want Arsenal awe bingwa wa EPL watakaza fuvu kweli kweli
  2. C

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Manchester City hawezi kufungwa na Real Madrid abadani save my message
  3. C

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mna football [emoji460]️ [emoji119] mbovu mbovu shenzi type kuangalia Manchester United kama big team ni nonsense [emoji58] katika football [emoji460]️
  4. C

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Goli la ugenini Al Ahly kalipata kwake game imeisha
  5. C

    JamiiForums Tanzania CAG: Wastaafu na wenza wao wanaigharimu NHIF Tsh 84.7 billion kila Mwaka Bila Wao kuchangia

    Kuna watu akili ni ziro kabisa wastaafu ni watu ambao hawapo tena katika UTUMISHI WA UMMA hajamaanisha Wastaafu viongozi kwa akili hizi that's why tupo nyuma kila siku
  6. C

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Wenye akili?[emoji3][emoji3][emoji3]
  7. C

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Saint Anne kutwa kuja kuja kwenye Jukwaa la Arsenal while unanyanyaswa na litimu libovu kama Manchester United kwa dalili hizi hata kwenye EPL hutapata point pale OT
  8. C

    JamiiForums Tanzania Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Amka before hujajikojolea
  9. C

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Yanga kwenye midfield tumepwaya sana
  10. C

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Bado Premier league mdondoshe points hapo huwa hampati kitu hapo
  11. C

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Manchester United 1 -2 Liverpool HT
  12. C

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Oyaaa mnapigwaje na Nyumbu nyie?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    This is what we want to see leo Arsenal ipo quarter finals [emoji122] [emoji119] champions league team kubwa inatakiwa ionyeshe vitendo sio maneno BIG UP tutapewa mkubwa mwenzetu tutafight nae kuona nani ni nani
  14. C

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kabisa Mkuu
  15. C

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    @hamis77 natumai umeona mziki wa Champions league nilikukatalia ile siku wakati fixtures zinapangwa kuwa team Porto ni team ndogo ona sasa tunabana kende tu muda huu anything can happen Arteta still bado Uefa competition zinamsumbua (katika last 5 fixtures za home katika Uefa zote tumetolewa...
Back
Top Bottom