mkuu nimehangaika hapa kumtoa mdudu kwenye PC yangu kama 30 seconds hivi ndo nikagundua...... mwacheni mkuu akabadilishe damu, tatizo waTZ siku hizi mnachonga sana, oh "kaenda kubembea", "kaendea kushikana mkono na hasheem". makelele mengiii!!! sa hiv ni mwendo wa kimya kimya tu.. mtakuja...