Mama Salma aingia Arusha kwa mbwembwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Salma aingia Arusha kwa mbwembwe

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ngongo, Oct 28, 2010.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wakuu,

  Mama Salma Kikwete aingia Arusha kwa staili ya kutupa fulana,kofia na scuff.Nilikuwa maeneo ya Stadium chini ya mti eneo maarufu kwa wacheza draft na madereva taxi ghafla mlio wa ving'ora vya polisi uliashiria wenye nchi wanapita kufumba na kufumbua Mama Salma Kikwete ndani ya Landcruiser anapita na kupunga mkono na tabasamu la aina yake anawarushia fulana,kofia na scuff hali inayosababisha mtafaruku na purukushani za kugombea zawadi za Mama Kikwete.

  Naomba kuuliza sheria ya gharama za uchaguzi inasemaje,wajuzi wa sheria hii naomba msaada !
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Huo ni uharibifu wa mali. Hajali maana hajazitokea jasho. Kaja Arusha kufanya nini ? Atarudi akilia
   
 3. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bora wazitupe mapema, zimebaki saa chache zitawadodea
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Anaendelea na mkutano pale CCM mkoa...
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mheshimiwa Ngongo,
  Kwa mtu wa cadre yake kufanya hivyo ni kujidhalilishaa, na anazidi kukizamisha chama kwenye tope!...Ungepata snapshot ya tukio hilo ingekuwa burudani ya juu sana na ingebaki kwenye memory -lane kwaajili ya vizazi.
  Lakini kwanini hagutuki anapopunga mkono watu wako kimya?...Mswahili bana..Ngoja nisubiri jioni, huenda nitapata picha za KITANDA KWA KITANDA!
   
 6. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  nyie huyu mama na mumewe akili zao sawasawa, ama kweli Mungu hukupa mke wa kufanana nae.
   
 7. M

  Mikomangwa Senior Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu hajaomba unampa, akiamua kumsetiri mbwa wake unamweka lupango!
   
 8. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu alisema hapa JF "ukitaka kupima akili za mume angalia matendo ya mkewe"
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  ama kweli, napata somo sasa.
   
 10. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  huyu mama na mme wake wanafilisi na kuaibisha Tanzania
   
 11. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Salma Kikwte ana tamaa ya madaraka kuliko aliyonayo mke wa mgabe na Lucy Kibaki. Kwa tamaa yake ya madaraka na elimu ndogo ameamua kumshawishi mume wake warushe karata kwa watoto wao ili nao wauze kitakachosalia huku wao wakiwa wazee.
  Jibu ni moja, tar 31 Oct.... Chagua Slaa (PhD) kukomesha udhalimu huu.

  Nimeshapata tiketi ya Precision nakuja Dar jumamos kwa ajili ya kupiga kura. Wife kanithibitishia kuona jina langu kituoni. Naja ndg naja na kura yangu mkononi kumpa Slaaa
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Mama ana vioja huyu.............

  Naskia jana kaahidi barabara ya lami.
   
 13. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Salma Kikwte ana tamaa ya madaraka kuliko aliyonayo mke wa mgabe na Lucy Kibaki. Kwa tamaa yake ya madaraka na elimu ndogo ameamua kumshawishi mume wake warushe karata kwa watoto wao ili nao wauze kitakachosalia huku wao wakiwa wazee.
  Jibu ni moja, tar 31 Oct.... Chagua Slaa (PhD) kukomesha udhalimu huu.

  Nimeshapata tiketi ya Precision nakuja Dar jumamos kwa ajili ya kupiga kura. Wife kanithibitishia kuona jina langu kituoni. Naja ndg naja na kura yangu mkononi kumpa Slaaa
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Salima Kiwete ametoka kwenye ukumbi wa CCM mkoa hapa Arusha palipokuwa panafanyika kikao cha wanawake kama dakika 45 zilizopita, nimeona akiwapungia mikono watu waliokuwa jirani na eneo hilo cha kushangaza watu walikuwa wanabaki kumkodolea macho badala ya wao nao kumpungia... jamani ccm hamtakiwi
   
 15. M

  Mnyalu wa Kweli JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 233
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Like wife like husband:A S-baby:
   
 16. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,508
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Siyo hivyo mkuu!! Yeye anafikiri kila mtu anamfahamu kumbe wao wanamshangaa huyu ni nani?? Wanamjua tu akiwa kwenye ma-VX yao na akiwa pembeni ya Mkulu akiingia ntaani hakuna anayemjua!!
   
 17. comp

  comp Member

  #17
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  muda wa kurudi xul kula vumbi la chalk umefika sasa. madesk yamemmiss huyu mama.
   
 18. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nilipta taarifa; watu wa Arusha wanasema Mama Kikwete hakubaliki katu A Town!

  Inasemekana bora angemuacha Batilda .... ajisukume mwnyewe... yaani Salma sana sana anamuharibia zaidi!
   
 19. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Mama amefulia mbaya sana!!

  CCM wajanja wamempitisha sehemu ambazo angalau CCM inakamwelekeo kadogo..

  CCM imekwisha jamani!!!
   
 20. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,869
  Likes Received: 2,815
  Trophy Points: 280
  Jamani hakuna kitanda kwa kitanda au shuka kwa shuka huko??? A-town angalieni mama mkali wa shuka kwa shuka huyo shauri yenu!!!
   
Loading...