Recent content by COMORIENNE

  1. COMORIENNE

    Kila mtu ana kichaa chake

    Kununua Ardhi
  2. COMORIENNE

    Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

    HAINA MKUU hata induction cooker wanaisifia tuu lakini multi cooker ndo kiboko yao
  3. COMORIENNE

    Kwanini mwanamke amekubali kuolewa halafu hataki kuzaa

    Sifa kuu za mwananmke 1.AKIKUONA HUELEWEKI, HUTAMUELEWA KAMWE! 2. UKIMZINGUA ANAKUZINGUA 3.ANA UWEZO MKUBWA WA KUFIKIRI
  4. COMORIENNE

    Kabila la Wameru ni watu wabinafsi na wakorofi sana

    Ukivuta jiko huko inakuwa umejichimbia grave. Unasubiriwa ujipange kimaisha wakuondoe au unyang'anywe kila kitu utoke na nguo zako tu tena bila hata begi yaani nguo kwenye shangazi au mjomba kaja!
  5. COMORIENNE

    Kwanini mwanamke amekubali kuolewa halafu hataki kuzaa

    Kama sio wewe hayo haya kuhusu waachie wenyewe
  6. COMORIENNE

    Saa 3 usiku bado mbali ngoja nilale ifike haraka

    Saa 6 sasa vipi huo umbea ushakuja????
  7. COMORIENNE

    Nakumbusha: Kutembea kwa miguu ndio zoezi bora na salama, kukimbia ni kujizeesha kwa hiyari

    Ni kwasababu ya Mabio wanayo kimbia mkuu. Ili ufanye Mazoezi ya kukimbia ni lazima upime afya kwanza na Upate ushauri wa daktari. .Ukikimbia kama wafanyavyo wengi bila elimu Unatanua moyo na kusababisha uzee wa ghafla Mwili kuchoka na mifupa kuharibika
  8. COMORIENNE

    Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

    Duh! Ama kweli wa aina hiyo ni hamnazo
  9. COMORIENNE

    Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

    Kama Pressure cooker ni ya umeme ni Multcooker kwasababu hupika aina nyingi za vyakula kwa mfano hupika huchemsha huoka hukaanga. Ila iliwa ni Pressure cooker ya kawaida isiyo ya umeme huchemsha zaidi . Pia kuna Rice cooker hizi ni special kwa ubwabwa tyuuuu Kwenye matumizi ya Umeme Mult...
  10. COMORIENNE

    Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

    Sio kweli chakula kukosa ladha ni ubovu wa mpshi na sababu sio multi cooker. Nina tumia multicooker na electric cooker za kawaida . MAPISHI NI SANAA KAMA SANAA NYINGINE MKUU
  11. COMORIENNE

    Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

    umeme kupikia ni rahisi kuliko gas wengi hawajui
  12. COMORIENNE

    Ujenzi huu unafaa?

    Kupaua kwa concrete slab ni gharama lakin ni bora kwa sasa ili miaka mingine mbele uongeze floor juu.. Kupaua kwa bati ni rahisi sana
  13. COMORIENNE

    Britanicca: Alhamisi 28/08/2025 nitaleta Uzi ambao sidhani kama Taifa litabaki moja

    Please mkuu Britanicca sitamani Watz kulala juu ya miti kama ndege. Kama unajua kuwa kutakuwa na mahangaiko zaidi ya tuyaonayo Nchi za wenzetu ni bora unyamaze tuu.AMANI YETU KIPAUMBELE KWETU
  14. COMORIENNE

    Jana pameandikwa uzi kuwa wanaume wengi siku hizi hatupigi mswaki wala kuoga, je ni sahihi pia kusema wadada nao wamekuwa wachafu kwenye maungio yao?

    Teknolojia imewafanyab wadad wapoteze ustaarabu wa kujisafi sasa badala yakuwa na scent nzuri baadhi wana nuka balaaaa. Wakiingia msalan iwe ndogo au kubwa hawataki kushika maji wanatumia karatasi lain au Toilet water pressure tubes
  15. COMORIENNE

    Godoro safi la kulalia

    DODOMA QFL
Back
Top Bottom