Kwanini mwanamke amekubali kuolewa halafu hataki kuzaa

I have to say, judging by your responses to the comments (some of which are stupid), you have a great attitude. Kuhusu Uncle wako, mshauri kama anataka watoto na mkewe hataki basi aachane naye atafute mke mwingine.
 
100% ✅🙏🙏
 
Wajomba kuna uncle wangu ameowa huku ukanda wa pwani ni mwaka wa nne now hukuna mtoto.

Mwanamke hataki kushika mimba wala kuzaa naye mjomba anasema bado time. Afu kibaya kuna location kapin Mme kufika

Pesa ipo ameikuta na zingine wamepata wotee. Sasa shidah ake itakuwa nn wakuu.

behind the scen
The lady ana plan na another guy! Hence kapig pin.
Mgao wa mali business imegrow sanaa
Zereu nyingi danger day no.

Sasa sijui target yake ni ipi
Mjomba 1 wala 2 haikai haelewi afanye nn??

Ss tunatak tumwambia uncle amuache tu. Mbn wanawake ni wengi.

Karibu kwa ushauri na maoni.

#sio kila taabu ya dunia mtu amejitakia zingine zinakuja tu.

Ana option 2:

1. Akae naye afe kwa mawazo au kuuwawa.
2. Amuacha awe na amani apambane.

Laiti wanaume wangekuwa na Ujasiri wa kujua wakati wa kuondoka kwa wanawake, kungepunguza vifo vingi!
 
Na huyo ni mkeo acha kumchria mjomba😃
 
Ana option 2:

1. Akae naye afe kwa mawazo au kuuwawa.
2. Amuacha awe na amani apambane.

Laiti wanaume wangekuwa na Ujasiri wa kujua wakati wa kuondoka kwa wanawake, kungepunguza vifo vingi!
Thanks brother🙏. Nilikuwa nawasubili sanaa🙏
 
Unaoaje mwanamke kabla ya kuzaa au ajabeba mimba.
Okay ila hapo si unakuwa umevunja sheria na maadili. Kwel kila men angetaman iwe ivo kwa ndoa za cku izi, ila its wrongs kweny jamii zetu
 
Ana option 2:

1. Akae naye afe kwa mawazo au kuuwawa.
2. Amuacha awe na amani apambane.

Laiti wanaume wangekuwa na Ujasiri wa kujua wakati wa kuondoka kwa wanawake, kungepunguza vifo vingi!
Tatizo mume hujui ramani aliyopitia huyu anayesema muda wa kuzaa bado. Usijekuta huko awali alishafanya mengi😅😅😅😅
 
Kwel ya wawili, lkn ikishakuwa imedoda hao wawil huwa mda mwingine wanastuck na stress nying lazima tuwasaidie kwan wameshaonyesha kuhitaji msaada.
Shida ni kwamba unaweza kujihangaisha kutoa ushauri wenzio wakishaanza kuchekeshana, wakawa sawa huko ndani wewe utaonekana mnafki na ushauri wako
 
Back
Top Bottom