Aha! Kumbe system ndio imeweka viongozi watendaji bila kuangalia kiongozi gani anafaa kwa taifa letu mpaka tumefikia hapa!!! Watendaji wadiilifu na wachapa Kazi wamewekwa pembeni na kuacha Wengi wababaishaji hadi tumefikia hapa, sina haja ya kutaja hasara walizolitia taifa letu. System ilikuwa...
Is too much', mmepitiliza. Kumbukeni heshima sio bidhaa ambayo unaweza kuinunua bali inapatikana bure. Sio maadili ya kitanzania. Hata Kama mi tofauti za Kisiasa, isifikie hapo,
Ni kweli ni nyingi na zimeanza kuuzwa Siku nyingi. Kinachonishangaza kwa nini hawachukui hatua za kukagua bidhaa zao. Nimeshatoa taarifa kwa ninaemnunuza konyagi kwa jumla ili apate ujumbe akanipotezea. Inaonekana hili Dili wanalifahamu kwani vifungashio vinavyotumika ni vya konyagi. Bei Yake ni...
Kinachonoshangaza, hayo mabadiliko yanayohamasishwa na wana CCM sijayaelewa ni mabadiliko gani. Wana fursa zone zinazotakiwa kufanya mabadiliko tangu tupate Uhuru wa tanzania mwaka 1961. Wana watu, ardhi, fedha, wataaalamu nk. Haya mabadiliko ambayo wameshindwa kuyafanya wa kiwa na raslimali...
Sababu nyingine ni kugeuza kampeni kuwa ya mipasho kwa mgombea wa UKAWA badala ya kueleza utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi iliyopita, mapungufu yaliyojitokeza na sababu kwa maeneo ambayo utekelezaji haikufikiwa. Wakilala wakiamka ni Lowasa na Richmond. Tangu wameanza kampeni hadi Leo ni ahadi...
Ina maana katika utawala wake wananchi hawatachangishwa kwa ajili ya maendeleo Yao? Hivi serikali ikiwa ya kila kits inaweza? Nimeshangaa sana kusikia kauli hiyo!!!!!! Hizo Halmashauri zinapewa asilimia ngapi ya bajeti kutoka kwenye bajeti kuu ya serikali. Wakurugenzi nawaonea huruma...
Hapa ninachokiona ni kwamba kutokuelewana kuko kila mahali. Hata kwenye familia zetu mambo haya hutokea. Yalikuwa ni mambo ya kuishia kwenye chama chenu. Sioni kama ni mambo ya kuyatoa nje ya box. Nashangaa sana!!! Au kuna external force? Mtueleze. Isitoshe taarifa hii imechelewa sana, haiwezi...
Yes, Hon. Mwapachu you are absolutely right, leaders shows the way while managers play implementation roles. The two scenarios resembled to whom you are taking about congratulations! You show us the way. You are a LEADER.
Hapaeleweki hatua kidogo pale TAMISEMI. Wakurugenzi Wengi wameondolewa kwa chuki na bila sababu za kueleweka. Inashangaza mtumishi wa serikali kuondolewa bila kufuata sheria ya utumishi wa umma na kanuni zake. Mimi nadhani huyu Katibu Mkuu atakaa pale TAMISEMI Milele.
:amen::amen:
Kwa sasa jitihada za kueleza habari ya Richmond is too late. Where were you for the past eight years? Kwa nini ni Richmond tu? Ingeeleweka Kama ungezungumzia ESCROW zaidi maana ni ya siku za karibuni.
Hata hivyo, hakuna kitu kibaya Kama mwanadamu anapokuwa moyoni ameshachoshwa na jambo...
Mh! Umeme umeenea hadi kijijni!!! Hizo shule zenyewe za kuweka huo umeme kwa maeneo mengi ya Tanzania ni zipi!!! Umewahi kukaa maeneo yasiyo rafiki kikazi vijijni !! Kuna maeneo mengine huwezi kuamini Kama ni Tanzania. Umeshawahi kuona shule watoto wote wanakaa juu ya mawe waliyookota wenyewe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.