Kunywa V.A.T 69 au Africoco
HahahahahaKONYAGI BANDIA zinatengenezwa na wafanyakazi wastaafu wa TDL au wafanyakazi waasi, kuna kiwanda cha KONYAGI FEKI kiligunduliwa hapa maeneo ya NJIRO ARUSHA, miezi miwili iliyopita, cha kushangaza TDL haijamchukulia hatua yeyote mhusika yule, na bado anadunda tu mitaani, hawajali afya za watumiaji!
Namba ya simu ya National Sales manager wa Tanzania Distelleries Limited ni hii 0767266601, na email yake ni joseph.chibehe@tz.sabmiller.com
Hebu na nyie waandikieni, wapigieni, wanatutesa sana watumiaji wa bidhaa zao!
Mi niwapongeze jamaa kwa kuwakomesha maana mmezidi, mtu unakunywa kinywaji kama unalamba limao bana. Safi sana, watilien hata kinyesi. Na ilivyo mitahira bado itaendelea kunywa tu.
Mkuu, mko mkoa gani?Juzi tumekunywa konyagi chupa tatu baadae tukazishitukia kuwa feki, ndani zinauchafu wa chupa kutosafishwa vizuri, halafu testi tofauti kabisa. Mimi nadhani % karibu 50 ya product nyingi sokoni ni feki. Heineken, Windhoek, ...kunasiku tena nikagundua Gordon Gin fake, Grants chupa kubwa zipo moja ina 40% nyingine 43% lakini zinafanana package ..... Serekali hailindi tena afya ya mlaji, sio soko huria tena Bali ni soko Holela!!
Mkuu siku moja tulikuwa kwenye joint opération ya Law enforcement body tulikamata kontena iliyopita Bandari ya mombasa kuingia mpakani holili mpaka dar ndani zilikuwa zimejaa paketi tupu za konyagi kontena futi 40, zina tumika kajaza gongo badala ya konyagi mhusika mkuu alikuwa mchina na jamaa fulani mchaga maarufu hapa nchini. Watu wa kiwanda cha konyagi walivyoona mpaka machozi yaliwatoka.THATHA KWANINI USIRIPOTI KIWANDANI HATUA ZIKACHUKULIWA? ACHA KUWAHARIBIA BIASHARA BANA! SIO FRESH!
-->>ONANA NA UONGOZI UJULISHE TU!
MODS
*******
ERASE THIS!
RUBBISH!
IMPACT AMBAYO INAWEZA TOKEA MTOA POST UTAWEZA FIDIA?
BETTER ERASE YOURSELF!
ii
qualif.buz.lawyer
****************
Kwani huyu baba katemwa au wamemwonea wivu maana kashusha kitu hatari bunju beach, hiyo nyumba ya 2bilNasikitika sana na jinsi kampuni kubwa kama DTL inavyoshindwa kupambana na black market,
Nakumbuka kuna mkurugenz walimfanyia fitina alijitaid sana kuzibiti hii kitu lakin ngoz nyeupe kwa ubaguz wao wakamtema na majungu kibao,pumzika vyema baba MGWASA.Konyagi kuna wawakilish karibu kila kanda na wanatembelea masoko yao sijui kwann hawaanzish operation kabambe ya hii kitu ,lakin TRA na TBS mpo wapi mume lala mapato makubwa yanapotea kwa huu upumbavu,nawapongeza sana marktechno na Heinken kuona namna ambavyo wanapambana na parralel products sokoni,pamoja tunaweza,lakin wito kwa sie wanywaji tukiona hali hio tutoe taarifa kwa vyombo husika kukomesha such pirates.