Selelii awavua nguo Rostam, Lowassa

Selelii awavua nguo Rostam, Lowassa

Kwa sasa jitihada za kueleza habari ya Richmond is too late. Where were you for the past eight years? Kwa nini ni Richmond tu? Ingeeleweka Kama ungezungumzia ESCROW zaidi maana ni ya siku za karibuni.

Hata hivyo, hakuna kitu kibaya Kama mwanadamu anapokuwa moyoni ameshachoshwa na jambo fulani. Inaitwa point of no return. Hata ufanye nini huwezi kumrudisha katika Hali ya kawaida. Hivyo ndiyo ilivyo. Kwa Hali ilivyo ni kila chama kujikita kwenye mikakati ya ushindi kuliko kuchafua majina ya wagombea. Wasalaam
 
Siku hizi Kubenea kuwadi wa Edo. Wanasaka matonge sasa.
Masikini Kubenea kumbe nimkigeugeu namna hiii! Nakumbuka kuna wakati alizusha habari kuhusu Ngexe kule Bukoba na matokeo yake alifukuzwa kutoka gazeti la Rai!

Mwaka huo aliyaandika hayo, leo anachukua dodoki kuwasafisha akina EL na Mahanga. Kweli njaa noma na adui yako wewe wala usimpige, muombee tu njaa atakuja kwako akitembelea magoti.
 
Chadema wameuza Chama chao kwa Mafisadi, chondechonde, tuachieni nchi yetu
 
Edo rais wa nchi ya kusadikika hata hao ukawa waliokuwa wakimtukana usiku na mchana kwa njaa zao ati sasa ni.msafi mbona mnataka kuwafanya watanzania hawana kumbukumbu za natusi yenu kwa edo ati banian mbaya kiatu chake dawani njaa zenu tu mgawien chama nchi ya wengi zaidi
 
Kwa nini hamkutuambia zamani? Si mliifanya ni siri miaka yote hiyo, kaeni nayo sis tunataka mabadiliko hata kama Lowassa anapata urais kwa coincedence hiyo sawa. Nyie CCM ndio mafisadi wa kwanza kwa hata kutunza report hii tu kama siri miaka yote hiyo.
Siri gani wakati Kubenea kaandika sana, tena hata mtandaoni yapo.
 
Tuwekeeni na yaliyojiri kwenye ile NEC ambayo ilitaka kuwavua magamba Lowasa na Chenge na ikashindikana baada ya kuonekana Mukulu ndio mhusika mkuu!!!
 
Harufu nini kikafanyika, walishitakiwa? That is the essence of my point. Sasa mnatuletea za nini, if you don't take any action, then keep it
 
Hayo yamepita miaka minane . mbona hampongezi aliyo Fanya mazuri City walter. mradi was maji ya shinyanga?
 
Back
Top Bottom