Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Endapo CCM itapita basi watanzania tutakuwa na haki ya kuitwa Wapumbavu na Malofa
Mgombea wa urais kupitia CCM, John Magufuli, amesema ameshangazwa na utaratibu wa kuchangisha wananchi pesa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo wakati halmashauri zimetengewa bajeti. Ameyasema hayo katika harakati za kampeni huko mkoani Mara.
Chanzo: ITV Habari
Anashangaa nini na wakati chama chake na yeye ndio wametufikisha hapa. Yaani ananiudhi sana na hiyo mishangao yake ya kuigiza.
Alikuwa mmojawao miaka karibu nusu ya maisha ya uongozi wa CCm. Kwa alishiriki kuuwa nchi hii Sasa anashangaa nini?
Mwaka huu kazi kweli kweli. maana hawa wagombea urais wa UKAWA na CCM kama wote wanafanana vile. Wote walikuwa CCM tangu mwanzo, Wote wanaonekana kupenda mabadiliko . Sasa sijui tumuamini yupi. Ama aliyetoka baada ya kukatwa ndo awebora kuliko mwingine? maana hata yeye anaonekana kubeba uccm tu.Mgombea wa urais kupitia CCM, John Magufuli, amesema ameshangazwa na utaratibu wa kuchangisha wananchi pesa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo wakati halmashauri zimetengewa bajeti. Ameyasema hayo katika harakati za kampeni huko mkoani Mara.
Chanzo: ITV Habari
Too much bana, yeye kila siku na kila kitu anashangaa tu. Huyu hata akichaguliwa ataenda ikulu kushangaa tu.Mgombea wa urais kupitia CCM, John Magufuli, amesema ameshangazwa na utaratibu wa kuchangisha wananchi pesa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo wakati halmashauri zimetengewa bajeti. Ameyasema hayo katika harakati za kampeni huko mkoani Mara.
Chanzo: ITV Habari
Yeye ni Rais wa barabara tu na mishangao mengine hajui
Alikuwa mmojawao miaka karibu nusu ya maisha ya uongozi wa CCm. Kwa alishiriki kuuwa nchi hii Sasa anashangaa nini?
Halafu munataka mtu huyo leo tumpe urais!!! inaonesha alipokuwa bungeni alikuwa anasinzia. Hivi si yeye aliepitisha michango ya maabara. Uraisi kwake utaishia kwenye mikutano yake ya kampeni tu.
Mgombea wa urais kupitia CCM, John Magufuli, amesema ameshangazwa na utaratibu wa kuchangisha wananchi pesa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo wakati halmashauri zimetengewa bajeti. Ameyasema hayo katika harakati za kampeni huko mkoani Mara.
Chanzo: ITV Habari
Atamshangaa hata lowassa atakapokuwa anaapishwa
Alikuwa mmojawao miaka karibu nusu ya maisha ya uongozi wa CCm. Kwa alishiriki kuuwa nchi hii Sasa anashangaa nini?
Anashangaa nini na wakati chama chake na yeye ndio wametufikisha hapa. Yaani ananiudhi sana na hiyo mishangao yake ya kuigiza.
Serikali anayoinadi ndio imeyafanya hayo
Vipi kuhusu Lowasa aliyekuwepo 3/4 ya maisha yake, fananisha monduli na chato utapata majibu, unless huna data