Picha: Lowassa akiwa Mererani, Simanjiro mkoani Manyara leo

Picha: Lowassa akiwa Mererani, Simanjiro mkoani Manyara leo

Hivi mmeshajiuliza mbona viongozi wanapenda kupokea kadi za wengine wakirudisha, zao mbona hawakurudisha?
 
Just shave, shave that exit hole..., clean it...hv lubricant ready, TILL YOU SING... UKAWAA... PIPOOOOOZ...!!!

Turning nasty...!!!

Lowassa is THE PRESIDENT...!!!

Maswali peleka kwa mama yako...!!!

This was unnecessary mkuu…
 
Kuendelea kuiamini ccm ile ile yenye ahadi zile zile ni kujitakia laana...

Watanzania kila kona ya nchi wanataka mabadiliko njenya ccm...!!

Atakae Amka Asubui ya oct 25 Kwenda Kuipigia Kura Ccm Mtu Huyo Analaana, Hata Mungu Atamshangaa Mtu Huyo.

Tembo Watamlaani. Twiga Watamlaani. Wamama Wajawazito wanao Lala Chini Wakati wa Kujifungua Watamlaani. Watu Wanaokufa Kwa Kukosa Huduma Bora za Afya Watamlaani. Watu wanaofukuzwa Kama Wakimbizi Katika Aridhi Yao Na kupewa Wawekezaji Watawalaani.

je! utakuwa Tayari Kuwa Mwathirika Wa Laana Hizo? Epuka Laana Hizi Chagua UKAWA. Kwa Maendeleo Mapya ya Uhakika.
 
Mkutano wa Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, katika mji wa Mererani, Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara...

NB: Hapa hakuna wasanii wala kusomba watu...

Updates za Rais wetu zinachelewa sana ,ni kama vile wasaidizi wake hawajajipanga.
 
Kuendelea kuiamini ccm ile ile yenye ahadi zile zile ni kujitakia laana...

Watanzania kila kona ya nchi wanataka mabadiliko njenya ccm...!!

Aliyewalogha Watanzania alishafariki bila shaka. Unajua kuna watu wengine akili zao ni bora hata za Ng'ombe.
Wamesahau shida zao zoote za miaka yoote kisa Pombe, Nyama na elfu tano tano. Aibu sana kwa Watanzania.
 
Hivi Makamba senior, Mukama, Mkapa, Warioba, Msuya, Baba yake Le Mutuz, wapo dunia hii kweli? mbona hawatoki mafichoni kuja kuokoa chama chao? Usikute Lowassa ana kura kadhaa kutoka kwenye list hii.
 
Hivi Makamba senior, Mukama, Mkapa, Warioba, Msuya, Baba yake Le Mutuz, wapo dunia hii kweli? mbona hawatoki mafichoni kuja kuokoa chama chao? Usikute Lowassa ana kura kadhaa kutoka kwenye list hii.
Wahuni wamerundikana mahali halafu eti kuokoa chama. Hata sisimizi huwa wengi.
 
And that's all you got huh ??? You need Jesus you motherfk ..........if people like you represents Ukawa man I need to second guess my self ,I definitely should be on the wrong team
I can't say no bad words to your mama ,I was raised to respect women

English, phraseology.... 00%..!!

You pretend the rubbish slang...!! Nasty...!!!

Composition...00%, watch out, cholera will attack you, clean ur excretion hole..!!👌👌

Lowassa ni RAIS long ago, hutaki tutolee kipundu pindu hapa...!!!
 
Atakae Amka Asubui ya oct 25 Kwenda Kuipigia Kura Ccm Mtu Huyo Analaana, Hata Mungu Atamshangaa Mtu Huyo.

Tembo Watamlaani. Twiga Watamlaani. Wamama Wajawazito wanao Lala Chini Wakati wa Kujifungua Watamlaani. Watu Wanaokufa Kwa Kukosa Huduma Bora za Afya Watamlaani. Watu wanaofukuzwa Kama Wakimbizi Katika Aridhi Yao Na kupewa Wawekezaji Watawalaani.

je! utakuwa Tayari Kuwa Mwathirika Wa Laana Hizo? Epuka Laana Hizi Chagua UKAWA. Kwa Maendeleo Mapya ya Uhakika.

Usimuhushishe Bwana Mungu wako hapo. Mimi nitampigia magufuli na familia yangu. Tunaipenda Tanzania.
 
Zingatieni kauli hii.
Lowasa ataishia kuwa Rais wa mitandaoni tu. Watanzania si wajinga wa kiwango mnachodhani nyie.

Watanzania wepi zaidi yetu sisi.... Tunaojaa kwenye mikutano na harambee tunatoa. Kuna Watanzania wengine wanajiita watanzania watakap tuamulia maisha yetu????
 
hakuna namna ccm inaweza kupita tena! Sote tuko na taswira inayoeleweka kuwa ni nani anakubalika na wenye nchi!
pole sana bwana mdogo maana huwez sema hakuna namna huku kikundi cha wahuni wachache tu ndio wanamuunga mkono lowassa
magufuli ndio rais wetu

pole sana bwana mdogo maana huwez sema hakuna namna huku kikundi cha wahuni wachache tu ndio wanamuunga mkono lowassa
magufuli ndio rais wetu

Rais wako na mumeo...!!👌👌
 
Mkutano wa Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, katika mji wa Mererani, Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara...

NB: Hapa hakuna wasanii wala kusomba watu...

HAKUNA MWIZI, FISADI, MLANGUZI ANEWEZA KUKOMBOA WATU KAMA WANAVYODHANI,...KUNA WATU WANAZO NASABAZA UFISADI, WEZI SANIFU. LOWASSA, SUMAYE(MR ZERO), MASHA,MSINDAI, MUNGAI,etc,,...hawana dhamira yeyote wa kukomboa pale wanachi wanapo dhania.
 
Back
Top Bottom