Recent content by Commander Dalton

  1. Commander Dalton

    Wanawake wazuri wote hawa wametuzunguka. Unaamua kuwa Mende? Una tatizo gani?

    Hata mimi huwa nashangaa hicho kitu pia Moja ya vitu vinanipa furaha kwenye maisha ni kuwala mademu wakali wakali. Sasa inakuwaje mtu anashindwa kutamani demu mwenye t..ako anaenda tamani mwanaume mwenzie??!!!
  2. Commander Dalton

    Mtoto wa mmiliki wa Mabasi ya HBS Express ajiua kisa kupunjwa mali

    Hahaa hapa mimi Mwaka 2030 nina malengo ya kununua my dream car Rav 4 new model ila sio ile new model saaaana nataka ile toleo la kati. Wacha sasa hivi nipige ugali dagaa, jero jero mpaka mwaka huo nitanunua tu. Huyo mtu angejua hayo maisha watu hata hatujayaishi wala tunayaota.
  3. Commander Dalton

    Mtoto wa mmiliki wa Mabasi ya HBS Express ajiua kisa kupunjwa mali

    Hahaa wewe mkuu una mentality kama ya kwangu. Yaani sihofiagi chochote kabisa!!!!
  4. Commander Dalton

    Madereva tapeli baadhi VS wamiliki magari Uber

    Anyway am too young for this ila nimependa jinsi mnavyodiscuss biashara, i hope na mimi siku moja nitafikia huko mlikofika.
  5. Commander Dalton

    Unafanyaje ukifumania?

    Mimi nitachukua tu ile harrier yangu niliyompa baasi.
  6. Commander Dalton

    Mastaa ndani ya JF

    Nyani ngabu
  7. Commander Dalton

    Jinsi utandawazi unavyochochea usaliti

    Wewe goldie kichwa chako kina matobo madogo ya masikio na pua, yangekuwa makubwa hayo maji yaliyomo kichwani yangemwagika [emoji3]
  8. Commander Dalton

    Maneno mazuri ya kumrudisha mpenzi wako aliyekuacha

    Hahaa siku hizi watu hawataki kubembeleza,
  9. Commander Dalton

    Baada ya kugundua ana mwanaume mwingine, nimemny'ang'anya vitu vyote nilivyomnunulia

    Ni kweli halafu ninaona haka katabia ka wanawake mtu unaweza ukamtoa hali fulani kwenda pazuri kidogo ila kosa tu ukishamtoa anaanza dharau.
  10. Commander Dalton

    Baada ya kugundua ana mwanaume mwingine, nimemny'ang'anya vitu vyote nilivyomnunulia

    Pesa yangu bora nifanyie maendeleo binafsi itanifaa sio kumuhonga mwanamke ambae bado ataenda kuvua chupi kwingine
  11. Commander Dalton

    BAD NEWS: Mwandishi Finnigan Simbeye wa The Guardian aokotwa akiwa hajitambui, amepigwa vibaya jijini Dar

    Bwana Gentamycine nimekushindwa kwa tafakuri zako kubwa, kwa hiyo unahisi huenda kuna tukio kubwa lisiloonekana wamemfanyia.
Back
Top Bottom