Mabasi ya zamani ya Japan yana comfortability kuliko mabasi ya kisasa ya India

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,799
Ukiangalia mabasi kama Fuso, Nissan Diesel Na mengine mengi yaliyotengenezwa Japan miaka ya nyuma yana Raha sana kuliko mabasi haya ya Tata Na Eicher kutoka India licha ya kwamba yametengenezwa siku za karibuni.
Hivi wahindi wameona kuwa sisi ni watu wa mingalangala mpaka watuletee mifisi?
 
mi naona wanatuletea hizi basi kulingana na pesa yetu, afu hawa waidi ni wafanya biashara
 
Kwani zile siti za mabasi ya BRT zikoje?

Mbona mm naona ni ngumu kuliko hizo za Tata na Eicher?

Nadhani kimntiki hapa wamengalia ni mabasi yanayosafikri kwa umbali mfupi japo hasa hawa wamiliki wanatubeba hadi kwenye safari za mbali, Mf January nilienda Mpwapwa kwa Eicher ya Lampard aisee makalio yaliwaka moto.
 
Kweli aisee ,Fuso engine nyuma ,Mitsubishi Rosa za miaka ya 90 ziko very comfortable kuliko basi hizo mpya za mchina na mhindi.
 
Kwani zile siti za mabasi ya BRT zikoje?

Mbona mm naona ni ngumu kuliko hizo za Tata na Eicher?

Nadhani kimntiki hapa wamengalia ni mabasi yanayosafikri kwa umbali mfupi japo hasa hawa wamiliki wanatubeba hadi kwenye safari za mbali, Mf January nilienda Mpwapwa kwa Eicher ya Lampard aisee makalio yaliwaka moto.
naona hawalion hilo maana wanakaa muda mchache dk 15-20 sasa wangukua wanakaa 1hr na kuendelea ungesikia kelele
 
Ukiangalia mabasi kama Fuso, Nissan Diesel Na mengine mengi yaliyotengenezwa Japan miaka ya nyuma yana Raha sana kuliko mabasi haya ya Tata Na Eicher kutoka India licha ya kwamba yametengenezwa siku za karibuni.
Hivi wahindi wameona kuwa sisi ni watu wa mingalangala mpaka watuletee mifisi?

hivi mimi sijawahi ona DCM mpya yenye radio ndani na namba D.......

Labda mnisaidie picha nyie
 
Ukiangalia mabasi kama Fuso, Nissan Diesel Na mengine mengi yaliyotengenezwa Japan miaka ya nyuma yana Raha sana kuliko mabasi haya ya Tata Na Eicher kutoka India licha ya kwamba yametengenezwa siku za karibuni.
Hivi wahindi wameona kuwa sisi ni watu wa mingalangala mpaka watuletee mifisi?
Kama Eicher ndo hamna kitu kabisa
 
Back
Top Bottom