Recent content by Comm

  1. Comm

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Sumu ya nini kwa watu kama hawa?Mbona hawa wanasiasa wote tu ni wezi...at least kwangu! Nilichozungumzia ni hiyo lugha hasa kutoka kwa mwanamke mwenzake,na kwa jukwaa kama hili.
  2. Comm

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Angekuwa mwanaume ungemjibu kwa jinsi hiyo umechemsha hata wewe,udhalilishaji wa jinsia huu.
  3. Comm

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

    Wote wezi.
  4. Comm

    JamiiForums Tanzania Duuh! Semeni wenyewe III(ReLoded)

    Au mtoto anaweka mdomoni.
  5. Comm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ....love bite zinatokaje jamani?

    Unamkosea mke wako.
  6. Comm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubaridi wa WAZUNGU kitandani wasababishwa na nini?

    Ni sawa na kuamini ubongo wa Mzungu ni tofauti na wa Mtu mweusi.
  7. Comm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana wanalia…!

    She's a virgin..anaonyesha tu.
  8. Comm

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke na Charles Hilary wa BBC SWAHILI, hakunaga kama hawa jamaa...

    Ni kweli hasa Salim Kikeke anafanya kiswahili kiwe kizuri,kiwe na ladha!...ila wangekuwa wanabadilishana waje na wengine kama redioni.
  9. Comm

    JamiiForums Tanzania Unachukia or unampenda Diamond 'Platinumz'? Hii inakuhusu

    We ndio owner wa Jf au?
  10. Comm

    JamiiForums Tanzania Balaa:Kenya Watoa Tuzo kwa Mashoga na Wasagaji..Tazama Video hapa Ujionee

    Wathubutu hapa waone,watajua hii ni Tz.
  11. Comm

    JamiiForums Tanzania Rayuu: msanii wa Bongo Movie na sakata la kutoka na mume wa mtu

    hivi siku hizi hii ni storry tena si sifa...na wanatambiana kwa hilo.
  12. Comm

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya sandra wa bongo movie yasambaratika.......

    Sio wa kwanza na hatokuwa wa mwisho.
  13. Comm

    JamiiForums Tanzania Habari Leo: CHADEMA kuingia msituni wakishindwa uchaguzi wa 2015

    Kama ni kweli kajidanganya,huyo Mtanzania wa kwenda msituni atamtoa wapi,kwenye keybords ndiyo msituni kwetu.
  14. Comm

    JamiiForums Tanzania Mama kwa vijana huyu!

    Huyu hakustahili kuwa Mama anawaonesha mfano gani hao watoto,Mkitaka usawa kama huu Msizae.
  15. Comm

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa serikali, naomba muwe na tahadhari juu ya nafsi zenu plz...

    Huyo Mungu ni kiboko.
Back
Top Bottom