Kumbe ndio maana wanalia…!

Kumbe ndio maana wanalia…!

Sio kwamba wamama wanalia wakifikiria watoto wao watakavyoenda kukutana na dhoruba mbalimbali za ndoa?
 
Mtambuzi hatujazoea bana.. Tuu short na picha umetubaniaaa sn au Mama Ngina amesha kutibua.. Kwi kwiiiiii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
na kweli ndefuuu huwa ni tamu, hizi fupi hazifikishi popote unaishia kubaki na kiu.

best watu8 mpana wewe, hebu niambie tunaongea lugha moja hapa au kila mtu yupo one step ahead
 
Huwa zinachosha bwana....hii ya leo safi sana
Thread ndefu zinachosha kusoma!!!!

shost umeona eenh, me kila siku navizia azas wacoment ndipo nielewe kisa cha mtambuzi,sasa leo naona kiulainiii nimempata.B2T..me naona kina mama wanaona mengi kwenye ndoa hasa milima sasa hua anaasume mwanae kama ataweza mudu na atapata mouo wa kukabiliana na yaliyomo humo ndani ya ndoa ukichanganya na huruma za wanawake hana la kusema zaidi ya kulia tu,ila Mtambuzi sometime tunalia kwa furaha au upweke wa kuondokewa na binti c mchezo ujue hapa ndipo mama anatamani arudishe hata mahari.
 
Lugha moja best...

hahaha cna uhakika kama tunaongea lugha moja , ntathibitisha cku ukitoa hiyo ndefu inikonge kumtima ,mtambuzi atakua shahidi kama itakonga or not.karibu lunch bt nimepewa offer
 
I see kweli nimeshuhudia wa mama wengi wanalia sijui machozi ya fraha au uchungu ni siri mioyoni mwao.
 
Back
Top Bottom