Recent content by Columbus

  1. Columbus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thika road foleni/jam bumper to bumper

    Nasubiri foleni ya kufa mtu baada ya ujenzi wa fly-over ya TAZARA junction, inakuwa wataalamu wetu wanafanya study yenye mapungufu hivi?unaboresha sehemu moja tu ya junction magari yaweze kupita bila kusubiriana lakini huko yalikotoka na yanakokwenda hali ni ile ile!! Nilitegemea kuona upanuzi...
  2. Columbus

    JamiiForums Tanzania Waoneni Dada zetu wa JWTZ huko DR of Congo

    Beijin at work!
  3. Columbus

    JamiiForums Tanzania Funga mtaa....kamata vyura !!

    Mshikaji unao wengi hao tufanye biashara?
  4. Columbus

    JamiiForums Tanzania Vigogo wagawana TAZARA

    Taarifa nilizonazo ni kwamba Tanzania na Zambia zinadaiwa deni la ujenzi wa Tazara kwa miaka 90, sasa ninaposikia sehemu ya mali za Tazara zinauzwa kabla deni halijaisha napata kigugumizi kuliongelea.
  5. Columbus

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ujenzi Akagua Flowmeter na Kamera Bandarini.

    Hii nchi imeshaharibika watu wengi wanachukulia wizi kama sifa. Imefika wakati wa kuziangalia upya adhabu kwa wanaobainika kuiba mali za umma.
  6. Columbus

    JamiiForums Tanzania Hii ni fedheha kwa askari kuwa na vitambi

    Jana nimemtolea uvivu askari mmoja wa barabarani,amenikamata kwa kosa la kudharau amri ya mwenzie ya kusimama. Kaanza kunipotezea muda nikamwambia aniandikie faster kama kuna faini na sio nimlambe miguu,ningetamani JPM apate hiyo hela mapema afanyie mambo ya maana. Nikaondoka nikamuacha na...
  7. Columbus

    JamiiForums Tanzania Zitto: Magufuli halipi kodi. Amtaka atangaze mali zake na madeni yake

    Nitaongea na KMK OS baada ya kuachia ngazi ataniambia mshahara was JPM
  8. Columbus

    JamiiForums Tanzania Nauza kituo cha kuuzia mafuta kinauzwa

    Sio kweli,mm nauza hiki kituo muda mrefu. Kama unahitaji wewe ni pm tu acha longo longo na mizuka isiyo na tija. Hicho kituo kina uwezo wa pump 8, pembeni kuna garage na super market. Eneo zima ni ukubwa wa hekari 2 hivi.
  9. Columbus

    JamiiForums Tanzania Nauza kituo cha kuuzia mafuta kinauzwa

    Kutokana na shida zangu binafsi nimeamua kuuza kituo cha mafuta maeneo ya Mlandizi,eneo lina hati kabisa. Mijengo iliyopo ni ya kumalizia na pampu za mafuta ziko stoo ukizihitaji tutaongea. Mwenye nia ni pm!
  10. Columbus

    JamiiForums Tanzania Dar - Mlandizi: Utitiri wa Petrol stations

    Naomba nifunguke,nina wasiwasi na mafuta ya transit ambayo hayajalipiwa kodi badala ya kuvushwa mpakani yanapelekwa katika hivi vituo utitiri na kuuzwa kwa bei nafuu. Mh. Dr. JPM njoo na huku utumbue majipu serikali inaibiwa kodi.
  11. Columbus

    JamiiForums Tanzania Mmachinga kaniuzia kanyanga,nimfanyeje?

    Nimejaribu kufuatilia nikagundua aliniuzia power bank hiyo kwa sh. 40 elfu na kumbe kuna mchina fulani anaziuza kwa kati ya sh. 5 na 10 elfu tu,nimeamua kununua nyingine kwa sh.30 elfu.
  12. Columbus

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya Dar yachukua uhai wa Kelvin Kavishe (Kaloosh)

    Huelewi?unaambiwa alikuwa bingwa wa madada poa!
  13. Columbus

    JamiiForums Tanzania Mmachinga kaniuzia kanyanga,nimfanyeje?

    Alikuja ofisini kwangu akanitangazia biashara yake ya vitu mbalimbali ikiwemo ya power bank. Kwa kweli nilikuwa na mpango huo ndipo nilipomuagiza aniletee power bank yenye uwezo mkubwa kwa ajili ya tablet yangu. Nilipomkunbushia aniletee aliomba nimfuate alipo ndipo aliponikabidhi hiyo power...
  14. Columbus

    JamiiForums Tanzania Dar - Mlandizi: Utitiri wa Petrol stations

    Na wewe fungua kituo chako!hujui kama biashara ya mafuta inalipa?acha wivu wa hivo.
  15. Columbus

    JamiiForums Tanzania Silaha za Maangamizi (weapons of mass destruction)

    Na huyu je?
Back
Top Bottom