kwa faida ya wote unaonaje ukiweka bei hap?Kutokana na shida zangu binafsi nimeamua kuuza kituo cha mafuta maeneo ya Mlandizi,eneo lina hati kabisa.
Mijengo iliyopo ni ya kumalizia na pampu za mafuta ziko stoo ukizihitaji tutaongea.
Mwenye nia ni pm!
Vijipu uchungu.....
Naona mshabanwa bandarini mmeamua kuuza vituo vyenu sio?
Kutokana na shida zangu binafsi nimeamua kuuza kituo cha mafuta maeneo ya Mlandizi,eneo lina hati kabisa.