Hii ni fedheha kwa askari kuwa na vitambi

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,766
1,707
Unakita askari polisi au jeshi ana kitambi cha kupitiliza kiasi kwamba unajiuliza kweli huyu ni askari!

Nakumbuka Rais Kagame wa Rwanda aliwahi kutoa onyo kwa askari wa serikali yake wanaofuga vutambi.

Imefika wakati sasa kwa Rais Magufuli kuwatumbua vitambi askari wanaovifuga.
 
Mkuu siku hizi vita inapiganwa kisayansi, ndiyo maan utakuta watu wafupi jeshini wengine ni viongozi wakubwa
 
Weka picha, Ila uwe makini Kwan kuweka picha ya mtu bila idhini yake kwenye social networks Ni kosa na TCRA hawalali Wako macho kupita maelezo.
 
Jana nimemtolea uvivu askari mmoja wa barabarani,amenikamata kwa kosa la kudharau amri ya mwenzie ya kusimama.
Kaanza kunipotezea muda nikamwambia aniandikie faster kama kuna faini na sio nimlambe miguu,ningetamani JPM apate hiyo hela mapema afanyie mambo ya maana.
Nikaondoka nikamuacha na likitambi lake.
 
Back
Top Bottom