Ndio maana Tazara imekuwa ikidorora miaka yote, kama watumishi mwenyewe ndio hawa,
Mambo kama haya ndio hunifanya nisione sababu ya kuwaheshimu most of wazee waliokuwepo serikalini ambao wengi walisomeshwa free na serikali ya tz and this is their fuc..ckn turnover to their Nation. Hawa wazee ndio wametufikisha huku.
Yaani kuna kitu nlikuwa najiuliza sana aisee,
Kwenye hii Tazara .
Cargo zipo,
Locomotives Zipo, Wasafiri Wapo, Reli IPO, ila shirika haliendelei,
And this was the reason, hivi vizee vimeturudisha nyuma sana kwa sababu ya Tamaa zao..
Na wamefika mbali zaidi na kuamua kuliuza kwa mchina shirika zimazima..
Please Magufuli tupo vijana wenye nguvu na ari ya kupiga kazi, tunatiana aibu aisee, tupeni vijana hilo shirika mtupe target muone..
I hate elders wa Tazara na wengine walioturudisha nyuma.
Ni bora hii nchi tuishike vijana maana hivi vizee vinaturostisha.