Habarini?
Msaada. Natumia Sony Xperia, Model SOG08, Android 13.
Nikifungua app yoyote, inakuja Chrome. Nikifungua app ya SMS, inakuja Chrome. Nikifungua app ya muziki, inakuja Chrome.
Nifanyeje ili iwe kama zamani? Kwamba nikifungua app ya SMS nisome ujumbe, au nikifungua app yoyote ije...