Recent content by Cofok

  1. C

    JamiiForums Tanzania Watanzania walikuwa wanataka tu viongozi bora

    Sad 😱
  2. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta dada wa kuuza Liquor Store – Kinondoni Shamba

    Naomba kazi
  3. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta dada wa kuuza Liquor Store – Kinondoni Shamba

    Naomba hii nafasi,Nina uzoefu wa kutosha na exposure nzuri Sana,mcheshi na smart
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha vijiti vya mihogo

    Asante
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha vijiti vya mihogo

    Habari wakuu, Naomba muongozo kwa wenye uzoefu, Je,inaruhusiwa kusafirisha vijiti vya mihogo kiasi, Kutoka Tanzania kupeleka Zambia ,kama mbegu Asanteni.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupata ajira nchi za nje

    Naomba na Mimi unisaidie connection, language nipo vizuri na Nina exposure kidogo
  7. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi Nilivyojifadhili Chuo cha kati na sasa chuo kikuu bila backup yoyote

    Keep fighting utafika tu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

    😀😀😀😀😀😀😀
  9. C

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na Uhamiaji miaka 60 ya Uhuru wanashindwa kutengeneza passport , bila shaka hatuwezi kupata maendeleo CCM ikiendelea kuwa madarakani

    Yani ni kero,yangu inaenda kumaliza miezi miwili sasa,mpaka unavunja ratiba zako muhimu,sijui tunashida gani hii nchi😏 Ni kero,yangu inaenda kumaliza miezi miwili sasa 😏
  10. C

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    NoRNoE
  11. C

    JamiiForums Tanzania God's will be done

  12. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata passport

    Wapendwa naomba mnisaidie mawazo ya Nini nifanye ili niweze kupewa passport yangu,inazaidi ya mwezi sasa yangu niombe,na uhamiaji wanataka nipeleke barua kutoka kazini kwangu,Jambo ambalo ni gumu maana I'm jobless at the moment,na Nina ihitaji before 25 this month.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Napataje barua ya uthibitisho wa safari? Ili kupata passport?

    Hello,unaweza kunisaidia mawasiliano yake ,kama yupo Dar, passport yangu imezuiliwa,sina barua kutoka kazini,I'm jobless kwa sasa!!?.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nafanyaje kupata Hati ya Kusafiria (Passport) kwa haraka?

    Habari,unaweza kunisaidia ni Nini nifanye ili passport yangu iweze kuruhusiwa kutoka,maana nimeambiwa nipeleke barua kutoka kituo changu Cha kazi,lakini nashindwa maana kwasasa sina kazi, please nitashukru.
Back
Top Bottom