Recent content by Codrix

  1. Codrix

    JamiiForums Tanzania House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Anapokea miezi mingapi? Mitatu anakubali? Kuna gharama ada yoyote ambayo inabidi nikulipe tofauti na kodi? Kama ipo ni kiasi gani.
  2. Codrix

    JamiiForums Tanzania House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Sawa mkuu niongeze picha zaidi tafadhali nione size
  3. Codrix

    JamiiForums Tanzania House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Nahitaji chumba kimoja mwanza bei isizidi 40k
  4. Codrix

    JamiiForums Tanzania Natafuta marketing officer - salary laki mbili - Mwanza

    Daah mkuu nimemtafuta seriously niko mwanza ila sikufanikiwa maana jamaa sijui kama yupo serious ama anatania
  5. Codrix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asikwambie Kitu Mtu Babu,Siku Hizi Kuwa Kwenye Mahusiano Ni Gharama Kubwa Sanaaa,,,

    Kama hauyawezi mahusiano kaa pembeni, unalipwa 700k hata kuhonga 20k unakuja kulia? Kapige punyeto mkuu hata ukilipwa milioni 4, madem hawakufai.
  6. Codrix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimpige chini?

    Hauwezi kumuacha mkuu, cha msingi punguza wivu, umeoa wacha na yeye atafute wa kumuoa
  7. Codrix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

    Hapana hilo si suluhisho, maintain siri zako halafu chunguza mawazo ya mtu unayetaka kuwa nae, jipe muda kujianika kwake, mtu hamjaoana ana hukua password yako ya bank si sahihi! Hii ni too much, umejiexpose sana, maintain siri zako.
  8. Codrix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

    Ni sababu moja wapo, pamoja na ile kuona una wategemezi wachache, kama hivyo wazazi wamefariki, unakuwa na extra money endapo unajishughulisha sasa na unaingiza kipato, pole sana vijana wa siku hizi sijui tumekuwaje wengi tunaangalia fursa katika mapenzi
  9. Codrix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

    Kuna namna wanajua mambo yako, ambayo wewe huijui
  10. Codrix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najihisi nina mkosi kwenye mapenzi

    Pole sana dada usiwe unasema kila kitu kwa wapenzi wako
  11. Codrix

    JamiiForums Tanzania Nimeikuta mahali, siyo mimi tafadhali, ni kitabu cha Ansbert Ngurumo

    Hiyo tu imetosha mkuu?
  12. Codrix

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

    Sana mkuu to is the best of the best kwa samsung...
  13. Codrix

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

    Hii simu iko wapi mkuu
  14. Codrix

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy A10, 20, 50, 90

    Natumia J7 pro pia hii simu ipo vizuri.
  15. Codrix

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alichofanya huyu mama si ustaarabu

    Siku hizi kumezuka wimbi la watu wazima ambao sio wastaarabu
Back
Top Bottom