Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,942
- 15,690
Unapigaje simu mara 7 mkuu? Mara moja inatosha sana na acha kujichoresha
Nashindwa kuelewa kwa nini hapokei....kwa sababu kuna muda alinipigia nikawa bize,baada ya dk 10 kumpigia hapoke simu,nimepiga mara 7,hakuna kitu.