Vyote viwili, Universe haitambui mtu mwema au mbaya, yenyewe ina respond kutokana na vibration unayo provide baada ya tukio kufanyiwa.
Ukiwa mwema hata kidogo then ukawa disappointed na matokeo ya wema huo najua utalalamika sana,
Hapa kuna mfanya na mfanyiwa, aliekufanyia ubaya universe...
Hivi bado mnakaa kabisa na kusikiliza hotuba za viongozi mpaka leo,
Me nikiona kiongozi yeyote anahutubia napita kimya kwa mustakabali mzima wa kulinda afya yangu ya akili.
kuwa mtu mwema hiyo ni weakness tayar na watu wata take advantage na mwisho hautafika mbali,
Hakuna rewards ukiwa mtu mwema zaid ya disappointment.
Cheers kwa wenye roho mbaya wote🍻
Nazani tatizo ni la mwanamke mwenyewe, wanashindwa kuona nature halisi ya mwanaume alienae kwa wakati huo.
Unaona kabisa jamaa hajali hata kwenye issue ndogo tu lakin bado unaamua kumzalia kabisa😁 dah.
Nina wanangu ambao mim personal najua huyu jau na wana red flag kama zote lakin nao bado...
Nikiona mtu yupo upande wa kuitetea serikali hii basi automatically ni chizi au hana akili kabisa na hawezi shauri kitu chochote cha maana kwenye jamii inayo mzunguka, hata familia yake inawakati mgumu sana wa kuwa na mzazi wa aina hii.
Ilitakiwa nipite kimya kwenye uzi huu ila nimeshindwa...
Mtoa mada umeeleweka vizur sana, msingi wa lugha ni kurahisisha mawasiliano, wengi wetu hatujui maneno ya kiswahili kwa ufasaha ingawa tumezaliwa na waswahili na kukulia kwenye jamii ya kiswahili.
Kuna baadhi ya maneno ya kiswahili ukiyasikia utashangaa hata kama hilo neno lipo na unaweza dhani...
Mkubwa kwenye mambo ya kukomboa Taifa hakuna kubembelezana,
Ukizingua unakula block haraf unapita hiv, unataka kunyenyekewa wew umekua nan.
Just behave.
What is yor excuse bro? Umefurah kwa kilichotokea kwa watanzania wenzako? Let alone waliokuwa barabaran, Je wale waliofatwa majumbani na kuuwawa kinyama? Are yu proud of that too?
Mkubwa! Chill then subir uone nin kita happen maana naona una hasira sana na GenZ, nafaham umefurah vijana wengi kuuawa.
Hakuna alie salama even yu so shut yor damn mouth.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.