Recent content by Codeboy Breezy

  1. Codeboy Breezy

    FT: Simba 1-1 Azam FC | NBC Premium League | 21st February 2023 Benjamin Mkapa Stadium 🏟

    Ukishaelezwa inaingia kwenye pato la familia yako?? Acha ujinga na uvivu em fanya KAZI😅😅
  2. Codeboy Breezy

    Hivi ni vidonge GANI?

    Kama wewe ni shabiki wa mnyama njoo TAIFA upunguze mawazo kdg😁😁
  3. Codeboy Breezy

    Hivi ni vidonge GANI?

    Ushaukwaa ukwandu tayari! Punguza sasa kufanya KAZI ngumu utakuja kunishukuru 😅😅😅
  4. Codeboy Breezy

    Maturubai ya Misiba yameongezeka Temeke, Yombo. Vijana tubuni

    Kuna sababu moja kubwa sana najiuliza, nini chanzo cha Panya road?? Tusitatue tatizo kwa kuangalia tulipoangukia tu Bali kilichosababisha tukaanguka ni kipi?? Hii itasaidia kupunguza kama sio kumaliza kabisa tatizo hili lisijitokeze tena huko mbeleni! #MaendeleoHayanaChama
  5. Codeboy Breezy

    Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

    Huna lolote,. Kama kakutuma ufanye investigation mwambie huku ninapoishi anachukiwa na ht mm nikipata upenyo wa kuingiza risasi kwake nammaliza mara moja for the sake of other Tanzanians! 😎😎
  6. Codeboy Breezy

    Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

    Watanzania wapi hao?? Ama mimi ni msenegal sijijui? Tuliza komwe kaka
  7. Codeboy Breezy

    Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

    Nadhan na wewe ni mmojawapo ya waleeee walamba asali. Mtu alishindwa kuchangia ujenzi akakimbia, Ila sasa tozo zinamuua kabisa! Poor you 🤪
  8. Codeboy Breezy

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    😁😁😁
  9. Codeboy Breezy

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    🤣🤣🤣
  10. Codeboy Breezy

    Polisi wasema wivu wa mapenzi chanzo mauaji ya watu 7 wa familia moja Kigoma

    Dah huzuni sana, shimo laondoa watu 7🌚🌚🌚
  11. Codeboy Breezy

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    🤣🤣🤣
Back
Top Bottom