Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,923
- 27,147
Wananchii



Pedeshee
Pedeshe: dereva, hebu njoo na hilo freezer langu kubwa hapa Lidaz
Dereva: sawa mkuu..
.... Baada ya muda freezer likaletwa..
Dereva: mkuu, tayari tumeleta friza hapa.. ni la nini huku lakini?!!!
Pedeshe: aah! Nilisahau simu yangu juu ya hilo freezer![]()





hii stori huijui vizuri! huyo mbibi alifariki hotelini katika mazingira ya kutatanisha akiwa na huyo mshikaji! jamaa kala bingo kama mume kurithi mizigo wa huyo mkewe! sasa unavosema kwa saivi wanaishi italy unazinguaUpdate: Pichani wanandoa hao ambao mume amepitwa miaka 37 na mke wake huyo wametangaza kutaka kupata mtoto ambapo watatumia shilingi milioni 333.7 na tayari wamempata mwanamke wa kumuajiri awabebee mimba
Mke huyo anaitwa Cheryl ana miaka si chini ya 61 wakati mume wake huyo anaitwa Quran McCain(24) ambapo kwasasa wanaishi Rome, Italia baada ya kufunga ndoa mwaka 2021
Cheryl tayari alishazaa watoto 7 na ana wajukuu 17 katika mahusiano yake ya mwanzo, lakini Quran yeye bado hana mtoto kwahiyo wameamua ili kulinogesha zaidi penzi na ndoa yao basi wapate mtoto ambapo mbegu tayari wameshapata mwanamke wa kumuajiri awabebee hiyo mimba na watatumia jumla ya gharama £120,000 ambazo si chini ya milioni 333.7 za Kitanzania
Wamesema wanapendana sana kila mmoja anamfurahia mwenzie ambapo penzi lao lilianza kipindi cha nyuma baada ya mwanamama huyo kuachia video mtandaoni akicheza muziki kisha watu kuanza kumchamba na kukosa furaha ambapo Quran alianza kumfariji na baadaye penzi kuchanua na hatimaye kufunga ndoaView attachment 2283164
Umeangalia nimepost jukwaa gani Lakini?hii stori huijui vizuri! huyo mbibi alifariki hotelini katika mazingira ya kutatanisha akiwa na huyo mshikaji! jamaa kala bingo kama mume kurithi mizigo wa huyo mkewe! sasa unavosema kwa saivi wanaishi italy unazingua
Kuna binadamu walijirekodi wakimlawiti mamba, wameshtakiwa kwa mujibu wa sheria za wanyama...
acha dhihaka mzee aitw Quran soma jina vizuriDuuh!
Itakuwa huyo bibi ana mpunga mrefuu, ambao ndo umekamatia hisia za huyo dogo Quran🤔
Pedeshee
Pedeshe: dereva, hebu njoo na hilo freezer langu kubwa hapa Lidaz
Dereva: sawa mkuu..
.... Baada ya muda freezer likaletwa..
Dereva: mkuu, tayari tumeleta friza hapa.. ni la nini huku lakini?!!!
Pedeshe: aah! Nilisahau simu yangu juu ya hilo freezer![]()




