Recent content by cockroach

  1. C

    NATAFUTA LAINI YA M PESA

    Wadau nina kahela kidogo nataka nikazungushe kwenye m pesa labda nami nitainuka kiuchumi.kama una laini ya m pesa nami niwe wakala wa m pesa njoo kwa 0752640448.niko Arusha Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    Nilivyovuka vikwazo vya kidini kutetea penzi

    Hayo ndo mahaba bwanawe.hongereni Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

    Uchochezi at work. Hivi huyo mzee kumpa kashfa zote wewe kijana wa Lu m mba huoni unatafuta laana?unalalamika nini wakati kawaambia kama mna ushahidi mpelekeni mahakamani. Mnaogopa nini kumpeleka ili tujue ukweli. Yaani hapa naona thread hii imejaa utumbo mpana ifutwe tu Sent using Jamii Forums...
  4. C

    Nimekwisha na UKIMWI

    Aise pole. Hiyo ni mojawapo ya machungu ya dunia hii. Bado una nafasi ya kuishi na kufanikiwa katika ndoto za maisha. Nenda kapime, pia kubali matokeo utakayo ambiwa. Sasa usisahau kutumia condom unapokutana na mkeo au mwanamke mwingine.kwa Ushauri zaid nitafute kwa 0752640448 Sent using Jamii...
  5. C

    Edward Lowassa afika nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo kutoa Pole

    Lowasa ndio president wetu wa mioyo. Anajua kutufariji kiakili na kimwili. Hakika sasa anaishi kwa amani. Mungu aendelee kumbariki kiongozi na baba yetu.
  6. C

    Edward Lowassa afika nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo kutoa Pole

    We umepata buku saba au bado?Lowasa alituambia Elimu,Elimu,Elimu. Wenye elimu hawawezi kuandika utumbo uliouandika
  7. C

    Mstari mweusi katikati ya tumbo kwa wajawazito

    Tena linea nigra ni huo mstari chini ya kitovu kwa mwanamke ambaye si mjamzito.Ila akibeba mimba huo mstari unaonekana vizuri na unaitwa linea gravidarum
  8. C

    Mstari mweusi katikati ya tumbo kwa wajawazito

    Huo mstari unaitwa linea nigra.mstari huu ndio mama akifisha wiki 12 za ujauzito ndo akija clinic anapimwa urefu wa huo mstari kwa kutumia tape measure. Mfano, kama baada ya kupima huo mstari ukawa na urefu wa 20cm,maana yake ni kwamba mimba ina wiki 20 au pungufu kidogo au zaidi kidogo. Yaani...
  9. C

    Dawa ya kuondoa/kupunguza ndevu

    Jaman mimi ni mwanaume .naombeni msaada wa dawa nzuri ya kuzuia ndevu kuota. Utakuta kwa wiki nanyoa ndevu mara nne. Hivyo naona kama zinaota haraka sana. Na pia kama unaijua hyo dawa naomba Na bei yake pia na maelezo ya kutosha
  10. C

    Nauza deep freezer ya foot 3

    Hebu nitumie picha kwa 0752640448
  11. C

    Nauza deep freezer ya foot 3

    Bei taja na sehem ulipo
  12. C

    Damu kutoka kwenye chuchu

    Nenda hospital, tena kesho wahi mapema. Iwe n hospital ambayo ina wataalam wazuri
Back
Top Bottom