Nini inasababisha kutoka damu kwenye chuchu ya ziwa wakati unaingia kwenye siku zako za mwezi
Lakini haliumi Na hamna uvimbeCarcinoma ya ziwa??? Kacheki hospital
Mmmh asante jamani very scary!!!Nenda hospital, tena kesho wahi mapema. Iwe n hospital ambayo ina wataalam wazuri