Dawa ya kuondoa/kupunguza ndevu

Watu wengi wamekua wakisumbuliwa na hormonal imbalance ambazo hueleta ndevu na vinyweleo mwilini.

Je dawa ni nini kutibu hili tatizo au kuna madaktari wanaotibu haya matatizo na yakaisha kabisa???
uliwahi kumuona mmasai ana ndevu........? watafute wakupe maujuzi.
 
Jaman mimi ni mwanaume .naombeni msaada wa dawa nzuri ya kuzuia ndevu kuota. Utakuta kwa wiki nanyoa ndevu mara nne. Hivyo naona kama zinaota haraka sana. Na pia kama unaijua hyo dawa naomba Na bei yake pia na maelezo ya kutosha
 
Hizi ndevu zangu ndio zimefanya yule dogo wa form three (mtoto wa mama mwenye nyumba) anikatae.
Naonekana kama nimezeeka.
 
Back
Top Bottom