Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa mchana huu amefika nyumbani kwa marehemu Dr. Philemon Ndesamburo mjini Moshi kutoa pole na kutia sahihi kitabu cha maombolezo nyumbani hapo.