Italy wako fiti kwa makaunta ataki. Sasa naona wana nafasi ya kuwabanjua inglandi ni kubwa
Pia wakamiliki mpira vizuri,hata muvu zao noma.
I think ze nxt goal litakua la kaunta ataki na litafungwa na hawa Mafia wa blue
DRC watauweza kweli mziki wa Rwanda baada ya mauaji ya Col Mamadou Ndalla...! "kama bhanakufa tuko tayari kuona maiti yao,kama bhanawazika tuko tayari kuona tombo yao,kama bhako chini maji tuko tayari kujua samaki ambayo ilibhakula,..." by Col.Mamadou Ndala
"Tutawapiga hadi ku mwisho,na adui na...
Unajua sehemu yoyote ile mnapokua watu zaidi ya wawili wakati wa usiku ni rahisi sana kujisahau.Kitu kikubwa kinakua ni kujiamini kupita kiasi eti tu kwa sababu mpo wengi.
Lakini mtu ukiwa peke yako lindo unakua makini kupita kiasi kwa usalama wako hata na mali unazolinda kama zipo.
Mimi...
Hata soda kwa wanawake walio wengi ndiyo inawaangamiza hasa wasiotumia kilevi.
Hii inawagusa wanaume wengi wasiotumia kilevi pia.
Inafika mahali mtu anakunywa soda 2 na kuendelea kila siku kuanzia j3 hadi ijumaa anapokua ofisini.
Sasa ni wakati wa kubadilisha hizo sehemu za mapokezi katika vituo vyetu.
La sivyo tutaendelea kupoteza askari kila kukicha.
Mfumo wa ujengaji hivi vituo ubadilishwe,mbona benki imewezekana kwa nini polisi washindwe?
Nadhani kisanue inatokana na neno sanuka. Sanuka maana yake ondoka kwa haraka au muda huo huo pasipo kupoteza muda au wakati.
Sasa kisanue imekaa kama kitenzi au kielezi hivi kwa mawazo yangu.
Tatizo la ndoto siyo lazima itokee kama ulivyoota,wakati mwingine inakuja kivingine labda hayo matokeo unaweza kuta yakawa ni ya robo fainali au hata nusu fainali.Haya kwa maoni yangu tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.