Huyu mtoto anaiga kutoka wapi?

Huyu mtoto anaiga kutoka wapi?

mtoeni huyo dogo jamani !!mwanaume kosa vyote ila sio hicho kifaa isee
 
Dogo akikata hiko kifaa atakuja kujilaumu masiha yake yote!!!
 
Mtoto wa GKM huyo
 
Last edited by a moderator:
Wote tunajifunza kwa majaribio, baadaye atafahamu kuwa labda ni vyema aiache hiyo propeller shaft kwani itahitajika kwa kazi za baadaye (starehe na uzalishaji mali [binadamu])
 
Labda aliona kaka ake ananyoa mazivu basi yeye akadhani alikuwa anakata dushelele!
 
kuna siku kiijana wangu alikuwa 3.5 years, akaniuliza baba kwa nn hili dudu nikiamka asubuh linafanya di di diiiiiii. nilicheka vibaya
 
oooohooooo we dogo utabakia na pambo tu ujekujuta baadae plz wacha hiyo maneno yako
 
May be kaona mum anazingua na ishu ya potty training na yeye kaamua kuchukua break fupi
 
hiyo inambugudhi mfanyie mpango wa papuchi mwekee hapo

hapana aiseee.............hiyohiyo ndiyo inayomfaa....hajajua matumizi yake bado akijua ataitunza vizuri..........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom