Recent content by COBOL

  1. COBOL

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    As it is kuna propaganda nyingi sana zinaendelea. Mtu inabidi uwe makini kuchuja habari. Kuna ma clip yanazunguka ni ya mwaka jana lakini unaambia ni "Ukraine".
  2. COBOL

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    US kavamia na kuleta mchafuko nchi nyingi sanaa. Wote kimya. Sasa hivi kwakua wao ndio wanalaani kila mtu analaani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. COBOL

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    NATO hawawez kuingilia. Kama member state haijaguswa
  4. COBOL

    Dada wa kazi ananitega

    Muwaze aliyekuumba kabla ya maamuzi.
  5. COBOL

    Unajuaje gari imechezewa umbali wake uliotembea (tempered with milleage)?

    Wengi huwa wanachezea odometer. Ukitaka umbali halisi tumia diagnostic machine.
  6. COBOL

    My confession: Hornet is Positive

    Ndio ilikua mara ya kwanza kupima? Nini haswa kilikupush kupima?
  7. COBOL

    Kwako Fundi

    Fundi umekua ukijiongezea sifa mbaya sana kila majira yanapoenda. Kumekuwa na misemo maarufu kama "Fundi mkweli ni kinyozi tu", lakini hata hili sasa hivi si kweli. Kwanini na malalamiko yote haya huweki jitihada za kubadilika? Fundi nimekupa order yangu ukaniahidi ndani ya siku saba itakua...
  8. COBOL

    Usipuuze hali ya uchumi ya mchumba/mpenzi kama hutaki mtu anayekutegemea

    Kwa wanaume mliopo mjini. Hata kama umemuona mdada amejipangia. Jaribu kuchimba mpaka ujiridhishe source yake ya kipato. Na kama ukipiga mahesabu kuna uhalisia. Usije kuja tuanzishia uzi tu humu.
  9. COBOL

    Hivi mkeo ‘akiliwa’ nje, kinachokuumiza ni nini hasa?

    Mimi ni mtu wa ku imagine ili nielewe vizur. Kwahyo nikikaa nawaza jamaa anasimamisha dushelele lake anagusisha gusisha halaf anamuingiza. Mtu wako anagumia kabisa. Pengine yeye ndo anailengesha na kuisindika inside. Siwezi kukusamehe. Ever. Mazafaq!! Nb: Remember It's not the first time...
  10. COBOL

    Kama kweli upo serious kupata Mpenzi wa kweli Mtandaoni, basi Wadada punguzeni ku-fake

    Usisahau kulipia Tangazo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. COBOL

    Kwanini anarudi nyuma? Why men pull away in relationship

    Naanza kuchat na wengine ambao wana thamini muda na effort zangu. Unajua maisha yalivyo funny, unaweza ukaanza kujilaumu kwanini sikuanza mapema. Yani unakuta umehamia Voda, mtandao unashika balaa. Halafu Tigo wanaanza kusumbua, mbona siku hizi hutumii mtandao wetu. Sent using Jamii Forums...
Back
Top Bottom