Mwanamke humpenda mwanaume mwenye pesa ili maisha yake yaende, wengi hawana hisia za kimapenzi na wanaume hao

Pesa, good sex, most caring, handsome, smart, ako na gari.....vitu ambavyo at the end havipatikani kwa mtu mmoja. Maana yake inatakiwa......au nasema uongo ndugu zangu.
 
Wanawake hua hawatupendi sisi wanaume,Ila sisi ndiyo tuñajipendekeza,wao wako kimaslahi Sana.

Mfano,unadhani wanawake wote waliozaa na mondi wanampenda? Hakuna Ila wameona pale pamenona,hata wewe ukiwa na mkwanja watajaa kibao ukitaka.

La msingi,ukiwapata watumie na mtumiane,Kila mtu ajipende mwenyewe,usiwekeze akili huko hata Kama ni mkeo.
 
Ndo wanaoongoza kulia katika vifua vya michepuko yao wakilalamika wasivyokuwa na mapenzi na waume zao
 
Back
Top Bottom