Ni matendo yapi ukitendewa unayatafsiri kama dharau ?Pull away (kujitoa kutoka mahali/sehemu)
Sababu zinaweza kuwa nyingi sana. Hivyo inategemeana na mtu na mtu. Mfano mimi nikagundua kuwa unani cheat nita "pull away". Au mfano mtu ameanza dharau tu ghafla humwelewi. Nakuacha kabla hujaniacha.
Tabia ya kupotezea calls.Kwa experience yangu.
Kila mtu anakuwa na turn offs au deal breakers zake. Tunaweza ziita "Vunja Mkataba" zake. Wanaume wengi naona tunazo common kadhaa ila nyengine tunapishana kama ilivyo tabia, hatufanani.
Unakuta mtu unamkubali vzur, lakini unakuja kupata deal breaker, inakulazmu ujitoe.
Unakuta,
- Mdada analazimisha ndoa wakati wewe bado hujapitisha TBS vizuri, au tu kama mwanaume unaona conditions bado haziko rgt, ila mwenzio anakupa timeline na kuforce sana. Unajikuta unaamua acha usiwe kikwazo kwenye maisha yake. Unajitoa.
- Unagundua mwenzio ana mindset flan unaona kabisa hii itakua shida mbeleni.
- Unagundua si muaminifu, mshirikina, au ana tamaa sana ya mali na maisha.
- Labda kuna tabia haikupendezi na kila unavyojaribu habadiliki. Hapa wengine unaskia wakisema "Me ndo nilivyo hata wengine wameshanizoeq hivi." kimoyo moyo unasema sawa. Ila mimi si wengine. Unajitoa.
Wengine waongezee deal breaker zao.
Mfano mimi kuna tabia naweza kukuvumilia maana najua binadamu hatuja kamilika. Ila ukini cheat, aisee hilo Nimejigundua siwezag kusamehe. Nitajitoa!
Ongezea za kwako...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabia ya kupotezea calls.
Kusoma sms watsap na kuzipotezea
Ni deal breaker pia ?
Vip kwako ukiwa na mtu wa style hiyoinaweza ni deal breaker kwako mkuu, pengine hutaki shobo, unaona isiwe kesi...
Unajitoa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip kwako ukiwa na mtu wa style hiyo
Ukipiga hapokei
Ukituma sms hakujibu
mkuu umenikosesha dili la mapamboMimi wangu nilimpata nikampenda na kumuamini sana, ndani ya miezi miwili akanisihi sana nikajitambulishe kwa kaka yake, nikakomaa akaforce nikaona sio kesi tukapanga siku itafika nikaenda kujitambulisha ,baada ya tukio lile tu kupita zikaanza hekaheka za ndoa ,nikamuuliza mbona mbona mapema sana ? Yeye wimbo ukawa ni ndoa ndoa ,nikakaa nikatafakari sana nikagundua pale hakuna mwanamke wa kuoa ila aliforce hivyo ili tu aonekane pia kapitia ktk ndoa,
Niliamua kuyeyuka kama chumvi ndani ya maji mpaka kesho hua anaendelea kinilaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ningeingia gharama bure na pengine leo ningefungua uzi wa kutendwamkuu umenikosesha dili la mapambo
Mkuu ulifanya ukatili sanaMimi wangu nilimpata nikampenda na kumuamini sana, ndani ya miezi miwili akanisihi sana nikajitambulishe kwa kaka yake, nikakomaa akaforce nikaona sio kesi tukapanga siku itafika nikaenda kujitambulisha ,baada ya tukio lile tu kupita zikaanza hekaheka za ndoa ,nikamuuliza mbona mbona mapema sana ? Yeye wimbo ukawa ni ndoa ndoa ,nikakaa nikatafakari sana nikagundua pale hakuna mwanamke wa kuoa ila aliforce hivyo ili tu aonekane pia kapitia ktk ndoa,
Niliamua kuyeyuka kama chumvi ndani ya maji mpaka kesho hua anaendelea kinilaani
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂Ukiwa usikii tena hizo kauli ujue maigizo yamefika kikomo