Recent content by CNN

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mahabusu ya magereza na mahabusu ya polisi wapi kuzuri?

    Brooooo usiandike kitu usichokijua uliza kwanza wapi zilitokea vurugu magereza waliita FFU....
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hakuna msamaha wa Rais wa kifungo cha nje, Magereza jitafakarini

    Barua imejileza wazi kijana acha kuws mkosaji hata kwa vitu ambavyo kila na aliye na akiri timamu anaviona.... Imeeleza tarehe ya kutoka kabla ya msamaha wa magereza... tarehe ya kutoka baada ya msamaha wa magereza na tarehe ya kutoka baada ya kupungiziwa adhabu na rais ambayo adhabu hyo bado...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kama Rais hana huruma na Mtanzania na anasema waziwazi; Je, sirini ni yapi anayaagiza juu ya Raia?

    Watajenga barabara.. kulima.. kama jeshi lenyewe halijawenzeshwa mkuu
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2017/18, nani bingwa?

    TANZANIA PRISONS Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgegedo na mziki

    Hii ndio jamii forum[emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Mshenz umenikumbusha mbali sana wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tuheshimiane kitandani! Sio kila sehemu unapeleka mikono tu

    Mkuuu leo nimefurah sana umeniondolea mawazo ya stress zaaisha....
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani unaoongoza kwa Warembo Tz?..

    Sumbawanga kuna warembo mm naishi huko....
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru Karibu Mamlaka Kamili

    Mtawasha vibatari.....
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mafuta/Gas ya BG Group/SHELL lawamani kwa UDINI baada ya kukwepa kulipa kodi ya 1Trillion

    Kwann usipiganie haki ya watanzania?..... jiuleze unataka udini kwan kule wanaenda kusomea mambo ya uislamu.... usiwe na hulka za kidini.... walioenda ni watanzania wenzetu....ukimaliza kuchambua udini utafuata ukanda.... ukimaliza ukanda, utachambua Ukabila. anza kueneza sumu mbaya hyo
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mafuta/Gas ya BG Group/SHELL lawamani kwa UDINI baada ya kukwepa kulipa kodi ya 1Trillion

    SIFA ya kuchaguliwa ni DINI au personal qulifications.... udini huo mnaeneza nyie
  12. C

    JamiiForums Tanzania MILA zingine ni UDHALILISHAJI .... tuziache

    Mila nzuri sana hzo..... ambao mipini yao ni kusimama simama hovyo.... duuu Kipmo cha uvumilivu
  13. C

    JamiiForums Tanzania Walimu waliotoa kipigo Mbeya, waonewa huruma na wizara

    Waziri alitumia sana hasira kufanya maamuz kuliko uhalisia wa jambo... Wamegundua kuwa chanzo ni nidhamj mbaya pale shuleni
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ona maajabu ya maneno ya Hillary Clinton!

    Matendo ya mumewake unamuadhubu yeye.....? Wewe bwana ongea vitu vinavyoeleweka anayegombea urais Ni HILLARY na sio BILL mumewake.....
  15. C

    JamiiForums Tanzania Magereza ambayo Scorpion mtoboa macho anafaa apelekwe

    Hlo KALILANKULUNKULU lipo mkoa wa katavi
Back
Top Bottom