Recent content by clixus

  1. clixus

    JamiiForums Tanzania Tazama hii nyumba tunaijenga Kiluvya Madukani May 2026

    Na sisi( mimi na kaka yangu) tumemjengea mama yetu huko pazuri sana katulia
  2. clixus

    JamiiForums Tanzania Naamini hospital ya Muhimbili ilichangia baba yangu kufariki mapema

    The same scenario happened to my late father hapo ulipopataja, wanafunzi wana maswali sana mbele ya mgonjwa, daah, pumzika father.
  3. clixus

    JamiiForums Tanzania Wasifu (CV) ya Patrobas Katambi

    Anaitwa petrobas katambi sio parabas, Mama kanyaga twende mbele Kazi Kazi.
  4. clixus

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Fao la Kukosa Ajira Tanzania (Unemployment Benefit)

    Af mtu kama alikuwa private sector kwa miaka kama miwili then akapata kazi serikaln so ile michango yake ya nssf inahamia pssf au ndo basi tena ishapotea?
  5. clixus

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Daah huu uzi noma sana last time natoa kimasihara yangu miaka 2 imepita ila uzi bado wa moto na kimasikhara za wana zinazidi kutokea na nimepata kimasikhara nyingine nimeukumbuka uzi Hii ya sasa hivi codes sijui zitamfikia muhusika maana dunia yeye kijij siku hizi
  6. clixus

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Mimi inaniandikia application failed nifanyeje anaefaham wakuu na nina 100 percent na kila kitu kipo
  7. clixus

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

    mimi nina 100 percent ila inanigomea ku apply inaandika APPLICATION FAILED na nina kila kitu.
  8. clixus

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    ASANTE SANA [emoji120] wengine hatuna vipaji vya uandishi mzuri.
  9. clixus

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hahaha [emoji3] nimecheka kinoma ndo nitolee hiyo hairudi tena MKUU.
  10. clixus

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Habari zenu wakuu, huu uzi kuingia Mara ya mwisho x-mas na niliwahi ahidi huko nyuma na visa vyangu vitatu acha nianze na kimoja Cha rafiki na mteja wa Dada, Dada yangu ana biashara zake za urembo somewhere sasa kuna Dem mmoja ni mteja wake mara kwa mara aliwahi niona ofisini kwa sister na Dem...
  11. clixus

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Shemeji yenu alinasa ujumbe na kugundua nimechepuka, nataka kurudisha mahusiano mahala pake

    Polee Sana mkuu wanakuja kutoa neno si unaona sahivi saa kumi wajuba wamelala bado Ila next time uandike vizuri taratibu muda unao mzuri Kama huu watu bado wamelala maana paragraph za juu umeruka ruka na kuacha maneno haielewek
  12. clixus

    JamiiForums Tanzania Nyimbo zilizobamba Afrika 2022

    Omah lay soso
  13. clixus

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    The same story to my side but that girl ni chizi she took everything, we need tu hustle ourselves, madem upuuzi tu.
  14. clixus

    JamiiForums Tanzania Kaibiwa na Dada poa sasa anaanza upya

    Huyu mzee hakai Kigambon kwel? Kuna mzee mmoja namuhisi ana hizi characters.
  15. clixus

    JamiiForums Tanzania Foundation programme

    Hapana Kuna intake 3 au 4 hivi
Back
Top Bottom