Recent content by CLICKER

  1. CLICKER

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Dk. Tulia Akson hakunaga. Uwezo wake wavuruga akili za wabunge wote wa UKAWA

    Point yako haswa ni nini, au ndio ukuu wa wilaya unautafuta? Siwezi amini kama wew ni real Tanzanian, nyamaza na ukome kabisa maana hujui watoto wa maskini wanvyoteseka udom
  2. CLICKER

    JamiiForums Tanzania Haya ni mazishi ya mbwa wa polisi

    Mbwa ni mbwa tu, hata wampake rangi .... Atabakia mbwa tu
  3. CLICKER

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Je, kwa punguzo hili la PAYE, nitanufaika kiasi gani?

    Hii ni noma sana haswa kwa ambao hawajaelewa kinachoendelea
  4. CLICKER

    JamiiForums Tanzania Namtegemea Mungu

    Duuuuuh
  5. CLICKER

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Waalimu nao wafanye NECTA za masomo yao

    Hii hoja haina mshiko, chomoa mara 1 na ukajisomee chumban kwako
  6. CLICKER

    JamiiForums Tanzania Kama lingekuwa ni gari la kifahari lingeitwa je??

    hiyo ni mbaula
  7. CLICKER

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kujiunga na Vyuo vya Afya mwaka 2015/2016

    Hamna shida utasoma tu japo si kila chuo, kuna baadhi wanakubali na vingine havikubali
  8. CLICKER

    JamiiForums Tanzania Msaada jaman anatomy inaumiza kichwa

    Ni kumeza tuuuuuu, na kama ubongo wako ni 500MB, ni bora ukapiga chini mapema, na bado parasitology
  9. CLICKER

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amfukuza kazi katibu tawala wa mkoa wa Mwanza

    Wataisoma namba wenyeweeeee
  10. CLICKER

    JamiiForums Tanzania Bata Mzinga elfu 90

    INGEPENDEZA KAMA UNGEKAMLISHA TANGAZO LAKO, YAANI MAWASILIAANO, SEHEM ULIPO NA VITU VINGINEE
  11. CLICKER

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa mikoa/wilaya kufuta likizo, kuweka watu vizuizini ni ukiukwaji wa sheria!

    Na mm nitajiendea hiyo likizo nione mkuu wa wilaya atanifanya nn, likizi zenyewe hawamlipi mtumishi chochote juu ya likizo yake
  12. CLICKER

    JamiiForums Tanzania Loan Board wanaanza kutukata lini?

    Kila mmoja atakatwa kwa wakati wake, usishangae wakakuanza mwez huu
  13. CLICKER

    JamiiForums Tanzania Do you know of a subject harder than Mathematics?

    Physics kwa advance, maths kwa ordinary, english kwa primary
  14. CLICKER

    JamiiForums Tanzania Nauza Hp Pavilon corei3 Dv6

    Tupia picha mkuu
  15. CLICKER

    JamiiForums Tanzania Japo sikukubali, Lowassa umenifundisha mambo makubwa 08 yafuatayo...

    Me sielwei hayo maneno yote ya nn kama tayar rais kashatangazwa, ni suala la kuangalia mbele ktk maendeleo. Huo ndio unafiki kama huwa hujui, na unafki wako peleka hukoooo kwenye majukwaa mengine, si hapa
Back
Top Bottom