Recent content by Clfiton Andrew

  1. C

    ACACIA waweka ushahidi hadharani kwa kampuni yao kusajiliwa nchini

    UFAFANUZI MUHIMU KUHUSU USAJILI WA ACACIA Kwa kutumia kigezo cha usajili, Tanzania tunazo aina kuu mbili za kampuni. Kampuni za ndani(Local companies) na kampuni za kigeni ( foreign companies). Kampuni za ndani ni zile zote zilizoanzishwa hapa nchini na kusajiliwa hapa nchini. Hata kama...
  2. C

    ACACIA waweka ushahidi hadharani kwa kampuni yao kusajiliwa nchini

    UFAFANUZI KUHUSU MUHIMU KUHUSU USAJILI WA ACCACIA Kwa kutumia kigezo cha usajili, Tanzania tunazo aina kuu mbili za kampuni. Kampuni za ndani(Local companies) na kampuni za kigeni ( foreign companies). Kampuni za ndani ni zile zote zilizoanzishwa hapa nchini na kusajiliwa hapa nchini. Hata...
  3. C

    Tujuzane!! Benki ikifilisika au kuungua moto wateja waliohifadhi hela zao inakuwaje??

    Hata mimi alivyoaanza kujibu kwa kuuliza elimu ya mtu ameniudhi, Sijui yeye ni darasa la ngapi angalia hata kiswahili alichoandika kwenye red. Umesoma hadi darasa la ngapi? kwa faida yako - Bank huweka dhamana BOT(BANK KUU YA TANZANIA) - Hawaruhusiwi kua na hela inayozidi kiwango hicho cha...
  4. C

    NINA MTAJI WA 10M TSHs NAOMBA MSAADA WA BIASHARA

    Hi! Filonos, Tafadali naomba kujua hiyo mashine na mixer ya mikate naweza kupata wapi? na inauwezo kiasi gani, yaani mikate ya kawaida mingapi kwa batch moja?
  5. C

    Tazama miujiza ya Yesu

    Hi! Chumvichumvi, unasema "mungu kasema jisaidie nami nikusiadie", ni kitabu kipi imeandikwa hivyo? Kama ni Biblia mimi nimetafuta huo mstari sijawahi kuuona labda kama kuna Biblia tofauti na hii ya Wakristo.
  6. C

    Mguu na mkono wa kushoto

    Msijali wote mnaotumia kulia nafikiri kama amesha exaust hiyo orodha hapo juu, maana yake ni kwamba watu wote maarufu waliobakia wanatumia kulia, sasa utapima wapi ni wengi zaiadi, kama ni raisi ni moja kwenye kundi lao au wanasayansi wako watano maana yake waliobaki wote ni righties
  7. C

    Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

    Naweza kupata photos viota ili nione jinsi vilivyo? Please attach
  8. C

    Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

    Hiyo bei ya viota ninapata viota vya kuku wangapi?, Ni Viota kwaajili ya kutagia mayai?
  9. C

    Salamu na pia natafuta mashine ya chalks.

    Salmu kwa wan JF wote. Jamani natafuta mashine ya kuetengezea chalks za mashuleni mfano huo hapo. Mwenye taarifa wapi naweza kupata tafadhali anijuze. Thanks
Back
Top Bottom